kweli hiyo??Shida siwez ona mwenzangu anakosa furaha ajili yangu wakati ninauwezo wa kumpatia kitu anachohitaji
heri yako....Hapana mapenzi sijayapa nafasi sana kwangu
Hebu soma watu aina ya Introvert kundi melancolin wapo vipi. Namshukuru Mungu kuniumba nilivyo japo huruma yangu ishaniponza sanakweli hiyo??
kama ni kweli basi hongera una moyo type nyingine maana kwa ulimwengu huu sio kitu rahisi.....
Wewe na mimi tunamilikiwa katika ulimwengu mmoja wa gymnastic exercise. Tufanye mazoezi mkuuKwa tulio single muda wa kujiandaa na mazoezi tu ,mi push ups tu
Wewe na mimi tunamilikiwa katika ulimwengu mmoja wa gymnastic exercise. Tufanye mazoezi mkuuKwa tulio single muda wa kujiandaa na mazoezi tu ,mi push ups tu
Mzima wa afya
Tupo wote, japo mimi ninanjaa [emoji134]Tupo wangapi lindoni leo
Sent from my TECNO H6 using Tapatalk
Tupo wote, japo mimi ninanjaa [emoji134]
Nifundisheni na mimi mazoeziWewe na mimi tunamilikiwa katika ulimwengu mmoja wa gymnastic exercise. Tufanye mazoezi mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina chakula[emoji39]Kwann hujala sasa
Sent from my TECNO H6 using Tapatalk
Pole, sasa na njaa lindo utaliweza kweliSina chakula[emoji39]
Itabidi tu niwaache muendelee nisije nikawafia burePole, sasa na njaa lindo utaliweza kweli
Sent from my TECNO H6 using Tapatalk
Niambie
TupoTupo wangapi lindoni leo
Sent from my TECNO H6 using Tapatalk