Hahah kuna dada humu jf alikua anajiita ladyboss full kuogopeka,mara paap modes wakaunganisha id yake nyingine akitangaza anauza kitanda na godoro palikua hapatoshi humu mkuu hahah.Huku kijijini kwetu mpaka uwe Lady .....umetumikia jamii yako vizuri...
Hao wa mijini wanapenda jina tu...sio uhalisia
Eeehh jamani..huko kwingine sijawahi kukuona mbona...nakuja huku tu ndio nakukutaga....basi yaishe....umeshinda.Nilisema tofauti na uzi huu
Hahah atawaleta wale jamaa wanaitwa OSHA watakuzingua hatariiiUtepe itakua rundo moja la mawe avunje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah kuna dada humu jf alikua anajiita ladyboss full kuogopeka,mara paap modes wakaunganisha id yake nyingine akitangaza anauza kitanda na godoro palikua hapatoshi humu mkuu hahah.
Duuuh makubwa haya. Kwamba nakuaga humu tu..Eeehh jamani..huko kwingine sijawahi kukuona mbona...nakuja huku tu ndio nakukutaga....basi yaishe....umeshinda.
Hahah ukilinda shule za english medium lazima ujue vitu kama hivyo mkuu.Lindo lako la kishua eeehh?
HahaaaaaaHahah atawaleta wale jamaa wanaitwa OSHA watakuzingua hatariii
Makubwa yepi tena? Sasa kama Mimi nakuviziaga huku, unashangaa nini?Duuuh makubwa haya. Kwamba nakuaga humu tu..
Kwelii ee! Basi nafurahi kuwa mmoja kati ya hao wachache[emoji8]Wachache sana kama blonde girl witj blue eye
Hahaaaaa eti wanivizia. Haya bbde u winMakubwa yepi tena? Sasa kama Mimi nakuviziaga huku, unashangaa nini?
Kweli kabisa...maana Kuna zile mwalimu hajafika unaambia kaa hapo darasani kuangalia madogo wasigombane....Hahah ukilinda shule za english medium lazima ujue vitu kama hivyo mkuu.
Furahini katika bwana, kwani yeye ana uzima wa mileleKwelii ee! Basi nafurahi kuwa mmoja kati ya hao wachache[emoji8]
Hahah umenielewa vzr sana mkuu.Kweli kabisa...maana Kuna zile mwalimu hajafika unaambia kaa hapo darasani kuangalia madogo wasigombane....
Kidogo nikate tamaa...Hahaaaaa eti wanivizia. Haya bbde u win
Kabisa walinzi tunatakiwa tuenende na mazingiraHahah ukilinda shule za english medium lazima ujue vitu kama hivyo mkuu.
Never give up mkuu kilele cha mafanikio kiko hapo mbele yakoKidogo nikate tamaa...
Basi umande ulioukimbia umekuletea Baraka sana...safi sanaHahah umenielewa vzr sana mkuu.
Angalia ujumbe kule kwenye jukwaaKabisa walinzi tunatakiwa tuenende na mazingira
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Furahini katika bwana, kwani yeye ana uzima wa milele
Hahah nimecheka sana mkuu.Kabisa walinzi tunatakiwa tuenende na mazingira