Aisee ntaichek mkuu,nime observe movie za 2010 kuja huku 2018 movie zinazotoka zimekua mbaya mbaya sana sijui kwanini? Hata kule rotten tomatoes/IMDB wadau wanalalamika sana.Action ya kivita mzee
Captains Craig McCenzie (Christian Slater) and Mike Reed (Freddy Rodriguez) are United States special forcessoldiers on a mission to find Osama Bin Laden in an unspecified location in the Middle East
Hahah sawa mkuu wanguDuuuuh CHAPUTA nimeiacha tokea mwaka 2015 mkuu
Ki VP mkuu ? Nieleze vizurNi dawa ya usingizi but at ur own risk..
Hahah ma fundi wanajua techno tu,simu ya ideos wangejulia wapi wale.Daaaah ungeuza hata kwa fundi dogo langu..
Shida ni kua CGI na 4D editing zimeshika nafasi zaidi hawajisumbi kwenda location hivuo muvi kuna vitu inakosaAisee ntaichek mkuu,nime observe movie za 2010 kuja huku 2018 movie zinazotoka zimekua mbaya mbaya sana sijui kwanini? Hata kule rotten tomatoes/IMDB wadau wanalalamika sana.
Imebidi siku hizi nianze kutafuta za 80's kuja 2000's hapo naona nazielewa fresh.
Atii ukipiga bao mchoko wake ni sawa km 8 kwa mguu so baada ya mchoko ni usingiziKi VP mkuu ? Nieleze vizur
That's for sure,ngoja nikomae na Old school movies/classic.Shida ni kua CGI na 4D editing zimeshika nafasi zaidi hawajisumbi kwenda location hivuo muvi kuna vitu inakosa
Si bora umalizie tu hayo masaa yaliyobaki jamani.Mada hii mmmmh..wa kulala wacha tulale na wenye kazi zao za kukesha chapeni kazi.
Kiukweli ndo hua tamu zaidi. Mtu unakuta japiga risasi mtu tundu tunaliona kubwaa hadi yaliyoko nyuma tunaona what the ffckThat's for sure,ngoja nikomae na Old school movies/classic.
Hahah kuna ka ukweli aisee,nimejaribu kuangalia ESCAPE PLAN 2(2018) ya sylvester stallone nimeshindwa kuimalizia ni ushenzi mtupu tu kwny hio movie.Kiukweli ndo hua tamu zaidi. Mtu unakuta japiga risasi mtu tundu tunaliona kubwaa hadi yaliyoko nyuma tunaona what the ffck
Mkuu una undugu TID?Bora ukeshe tu na wewe
Una maana gani ?.Mkuu una undugu TID?
Mkuu unajua huyo uliyemjibu hio ilikua ni comment yake Nov 6,2016.Si bora umalizie tu hayo masaa yaliyobaki jamani.
Nimeona Warioba nikamkumbuka TID mnyama a.k.a Wariobaaaaa.Una maana gani ?.
Haha, nilikuwa nimetoka usingizini.Mkuu unajua huyo uliyemjibu hio ilikua ni comment yake Nov 6,2016.
Sijui atakua bado hajaamka tu mpk leo Aug,2018.
Aisee bwn mdogo naona lindo limekushinda.Ebwanaa eeh mngato mm nalalaa..
Mungu awalinde damu Yesu iwafunike.
Anhaa, okay.Nimeona Warioba nikamkumbuka TID mnyama a.k.a Wariobaaaaa.
Samahani lkn mkuu ni akili zangu za usiku +kunga'atwa na mbu huku lindoni nilipo aisee.
Hahah pole mkuu,nilikua nazingua kidogo aisee.Haha, nilikuwa nimetoka usingizini.
I'm very sorry, ni wenge tu The: