Unanitishaa mana nishawahi kula zile chips sku moja. Si pale karibu na stend?Asante!! Mara moja moja sio mbaya ila ulivoandika mpemba nimekumbuka kuna mpemba gmboto alikua anapika chips zinagombaniwa ila nyuma ya pazia kulikua na kitu
hivi hizi zinakuwaga kweli au ni stort tu?Alikua anatumia maji ya maiti kuoshea viazi vyake na ni sharti alilopewa na mganga ili apate wateja wengi na sehemu al ipo alikua karibu na chuo cha Kampala sasa kuna mwanafunzi ana majini ndie aliye mstukia
Naam!! Sikutishi ila me mwenyewe ni mitaa yangu ileUnanitishaa mana nishawahi kula zile chips sku moja. Si pale karibu na stend?
Ni kweli, unajua watu wenye ma shetani au majini wanakuwa na pepo la utambuzihivi hizi zinakuwaga kweli au ni stort tu?
Kuna mtu alinipelekaga pale kula ntamuuliza kama bado anaendagaNaam!! Sikutishi ila me mwenyewe ni mitaa yangu ile
tumefunga milango ya tumbo chief...hii picha inaleta shida sasaKwanin mr
Fanya hivoKuna mtu alinipelekaga pale kula ntamuuliza kama bado anaendaga
kumbe!!!Ni kweli, unajua watu wenye ma shetani au majini wanakuwa na pepo la utambuzi
[emoji2] [emoji2]tumefunga milango ya tumbo chief...hii picha inaleta shida sasa
[emoji13] [emoji13] mambo ya kishirikina tu kwa suala la madini sidhanikumbe!!!
wanaweza kutambua eneo lenye madini ktk ardhi?
usiitoe iache tu, nitakula kwa macho mimi[emoji2] [emoji2]
Daah me ndio mida yangu hii maana leo nimechelewa, kwa hiyo niitoe
Inapendeza hiyousiitoe iache tu, nitakula kwa macho mimi
mhhhhhhAlikua anatumia maji ya maiti kuoshea viazi vyake na ni sharti alilopewa na mganga ili apate wateja wengi na sehemu al ipo alikua karibu na chuo cha Kampala sasa kuna mwanafunzi ana majini ndie aliye mstukia
sanaa npo lindoniNawe unalinda?
Vipi...!!mhhhhhh