JamiiForums Usiku wa manane

Pilau lilikuwa tonge harage,tonge harage mi nililazimika kulikwepa maana nilikuwa nishabonyea mtaani hivyo hata sikuhangaika nalo.Sio kodi tu maana na 2000 tumechangishwa tena kwa lazima
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kitu mbegu. Kweli mambo ni mazito
 
Pilau lilikuwa tonge harage,tonge harage mi nililazimika kulikwepa maana nilikuwa nishabonyea mtaani hivyo hata sikuhangaika nalo.Sio kodi tu maana na 2000 tumechangishwa tena kwa lazima
kudadaadeki,haloo dijeeei weka ile nyimbo pendwa ya marehemu john komba imfikie bachelor sugu kokote aliko.
Jikaze ndugu yangu ndo ukubwa huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…