mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,468
- 431,957
Jamani mpo humu
Tupo mkuumpoo
Tupo mkuuJamani mpo humu
Vyuma bossUsingizi umegoma leo sijui kwanini
Mkuu umeadimika kichizimpoo
Smart,mida Kama hii unafanyaga nini,nimeona nawe kila mara uko macho?mimi huwa naamka kusali na kusoma,kila siku ikifika saa 8 lazima niamke
...mambo
tupoWadau mpo ?
Leo pamepoa nikadhani wote wake zenu wamechukua simutupo
mke wangu amesafiriLeo pamepoa nikadhani wote wake zenu wamechukua simu