JamiiForums Usiku wa manane

acha na da vinci nasubiria stori ya omo ila njaa inauma jamani natamani mtu aniletee chakula wanaotoka viwanja mda huu
Fanya hivi bro Da'vinci fumba macho halafu hesabu ukirudi nyuma ukianza na 80,mpaka ufike 20 ushasinziaa.
 
SHE.Usiku mwema
Me:Niko jf mamii sina usingiz leo yanii
She:usiku huu unafanya nini huko??.

Huyo hapo..
 
hii shuka yangu ndogo inayonpiga mateke hapa?yes ni ya dar

Usikate tamaa kwenye kusugua goti, mambo yako yatakuwa sawa muda sio mrefu

Kwasababu usingizi huna, pika ugali ule

Time: 3:52
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…