HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,489
- 6,251
Mashabiki wa Liverpool wameamka na hangover ya ramosShukran mkuu,leo nipo front bench sitaki kule back bench maana juzi mashabiki wa Liverpool walikuwa wanapiga sana kelele ila Jana hali ilitulia baada ya nyapara Ramos kuwashughulikia.
BadoooHeeee mpaka leo bado haujashtuka kutoka ndotoni
Kwema?Badooo
Tupo mrs professor. Nipo download mcmafiaWenyewe mpo humu jamani
Karibu tulale woteMlale jamani mkue
02:35 usiku Sana hukuNi saa ngp huko kwenye nchi ya makontena yasiyo na mwenyewe?
Duu si mchezooo,hapa ni 6:38 alfajiri.Huna usingizi mkuu?02:35 usiku Sana huku
Sina kabisa. Niko macho tokea nilivyo amka asubuhi ya saa 12Duu si mchezooo,hapa ni 6:38 alfajiri.Huna usingizi mkuu?
Wapi huko?Duu si mchezooo,hapa ni 6:38 alfajiri.Huna usingizi mkuu?
Pole Kwa kukosa usingizi,ni huku Asia mkuuWapi huko?
Asante mkuu . Nawasikiliza bundi tu wanalia huko njeePole Kwa kukosa usingizi,ni huku Asia mkuu
Hahahaha si mchezooo,mambo ya bongo hayo.Asante mkuu . Nawasikiliza bundi tu wanalia huko njee
Hahaha. Yah mkuu mbaya zaidi hakuna pakuenda usiku huuHahahaha si mchezooo,mambo ya bongo hayo.
Haya subiri pakuche,sie tunajiandaa kuoga muda si mrefuHahaha. Yah mkuu mbaya zaidi hakuna pakuenda usiku huu
Ongera yako. Nakunywa dawa za mafua muda si mrefu nilaleHaya subiri pakuche,sie tunajiandaa kuoga muda si mrefu
PoleOngera yako. Nakunywa dawa za mafua muda si mrefu nilale