JamiiForums Usiku wa manane
Nimewahi Mpenda mmoja yaani ilikuwa akinitext nafungua text yake huku usoni Nina tabasamu kaliii kupenda raha sana, raha zaidi kupenda unapopendwaa.
Ahaa kwahiyo kumbe ni sawa mdogo wako nikiingia mzima mzima, because i love him more not more very much no ooh i don't know sielewi nisemeje
 
Back
Top Bottom