Siwezi kufurahia anguko lako hata, bali nakushangaa maana kilichokununisha nakijua fika.Umefurahi mwenyewe nilivyoumia nafsi yangu si ndio eeh
sawa mamii nakuja..Natangulia chumbani.....
@jje's ukuje huku kwanza mpe Somo LA Upendo Wa Agape kabla sijaendelea.Mnanichanganya bwana.....
1.Mr Miller uko na mumu au Mzigua 90?
2. Iceman 3D uko na Neybright au Dina?
3.Ney uko na Iceman au Joseverest?
4.Kichwa Kichafu unampenda jje's au carba.....?
5.Maserati uko na Manga ML au na Spade 4 spade?
6.Demiss umeshaachana na HB wa Kigogo baada ya kumpata Jr au uko nao wote?
7. Inna umeamua kurudiana na Ivunga na kumwacha dingimtoto au ni vip?
Nipeni majibu maana nachanganyikiwa sijui nani shemeji wala wifi humu
Ulinzi wa kulinda nyumba yako.ulinzi wa kulinda nini?
Miss you shemela!Salam kwa popoz na bundi wote
[emoji122][emoji122][emoji122]Hapana sipo available
Usichelewe sana mpenzi,si unaona Mvua hii,.uje nikufunike na mwili wangu honey,.sawa mamii nakuja..
Siwezi kufurahia anguko lako hata, bali nakushangaa maana kilichokununisha nakijua fika.
Hivi ule wimbo wa wewe una wako nyumbani, nami nina wangu nyumbani uliimbwa na nani vile?
Nipo jirani yangu kipenzi toka umeamia mtaa Wa Saba umenitenga kweli kweli jiranJirani yangu, upo wapi wewe jamani
Hapana asante, kuna Mbwa.Ulinzi wa kulinda nyumba yako.
Kwema kabisa Boss. Harakati zinakwendaje ManHabari chief
Oooh nipo nyuma yako ss babe..Usichelewe sana mpenzi,si unaona Mvua hii,.uje nikufunike na mwili wangu honey,.
Siku utakayoenda kuwashauri Ney n 3D uende na hiyo cd uwasikilizishe huo wimboSomebody Dandu kama sikosei
Hahahaha kwanza kabisa acha nifanye kumbato kWako kwa kukumiss kusikokua na kipimoMiss you shemela!
Nasikiliza wimbo wa Asley hapa wa nimekubali kuitwa shemeji [emoji41]
Ahsante Darling Wangu,.nipe mkono twende wote.,Oooh nipo nyuma yako ss babe..
Safi chief, zinaendaa vipi wewe hukoKwema kabisa Boss. Harakati zinakwendaje Man
Mbwa anaweza kumng'ata mkeo mkuuHapana asante, kuna Mbwa.
Unayempenda kiagape agape ni yupi kati ya jje na carba@jje's ukuje huku kwanza mpe Somo LA Upendo Wa Agape kabla sijaendelea.
Asanteh kwa ushauri Dear,Ney kamatia fursa hiyo....achana na yule born town
(simaanishi kuwa wewe na Samaritan ni maborn village, la hasha!)[emoji124] [emoji124] [emoji124]