Jambo gani?Jamani wanajamvi mimi nina mshitaki kwenu Samaritan juzi alinitenda jambo baya sana na anajisifia kuwa kanikomesha.
Hiyo presha tutamnyang'anya hatokuuaNaomba ahukumiwe maana naona anataka kuniua kwa presha kwa alichonitenda!
Hebu elezea vizuri kwanini unamshitaki na unamshitaki kwa kosa lipi tafadhali.Jamani wanajamvi mimi nina mshitaki kwenu Samaritan juzi alinitenda jambo baya sana na anajisifia kuwa kanikomesha.
Naomba ahukumiwe maana naona anataka kuniua kwa presha kwa alichonitenda!
Pole dear! Leo kunani jamani mbona mnaojisikia vibaya mnakuwa wengi hivo?Mm pia am NOT okay leo,.so good night,. Ntawamiss lakiniii[emoji22][emoji22][emoji22]
Ina nn??Hiyo Avatar veepee
Mmmh! Kweli wewe kichwa kichafu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumradhi kumbe nitumia lugha gongana sipo vyema kustahimili lindo (Si homa ni uchovu)
Night mkuugood morning [emoji43] [emoji43]
Pole ndugu yangu0002
Popo bundi na, wengine wote geti limefunguliwa. Nawaachia jamvi Mi sipo vyema wakuu
InaniangaliaIna nn??
Haya poleeMm pia am NOT okay leo,.so good night,. Ntawamiss lakiniii[emoji22][emoji22][emoji22]
Na kucha za plastic. Mkuu wale watu walikuwa na mshana jr Jana hilo nyumbani kwako uliwaonaHaya kumekucha..
Umetendwa!!?Jamani wanajamvi mimi nina mshitaki kwenu Samaritan juzi alinitenda jambo baya sana na anajisifia kuwa kanikomesha.
Naomba ahukumiwe maana naona anataka kuniua kwa presha kwa alichonitenda!
Unaibiwa nini?Naona dalili za kuibiwa hapa, tunaondoka wote mguu kwa mguu
Bby pls
Good morning ulipogood morning [emoji43] [emoji43]
Poa mkuu karibuHabarin wakuu
[emoji23]Naona dalili za kuibiwa hapa, tunaondoka wote mguu kwa mguu
Bby pls
Watu mnakesi kuzidi serikali naomba niwe wakili wako Ila kesi sitaisikiliza leoJamani wanajamvi mimi nina mshitaki kwenu Samaritan juzi alinitenda jambo baya sana na anajisifia kuwa kanikomesha.
Naomba ahukumiwe maana naona anataka kuniua kwa presha kwa alichonitenda!