JamiiForums Usiku wa manane

Aina za kutongoza
Tongoza ya kistaarabu (kiupole)

Tongoza ya ki-gangsta (yaani kigumu gumu)

Tongoza ya ki-mafia (yaani no kubembeleza)

Tongoza ya kizungu'

Tongoza ya kihindi

Tongoza ya kiarabu

Tongoza ya kimya kimya

Tongoza ya mchanganyiko wa aina mbali mbali hapo juu

Tongoza ya kutumia pesaa
 
Ongeza nyama kidogo, tupate ujuzi mie sijui huwa natumia ipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…