Usingizi umevunja urafiki na mimi ghafla..
Unawanga humu?

Ulichelewa kupata msosi nini?Wakuu usiku wa leo nauona mrefu kinomanoma dah
Ninapokulaga msosi umeisha aseeUlichelewa kupata msosi nini?
hesabu misumari tu ya ceiling boardNinapokulaga msosi umeisha asee
Ulilala sana mchana? Hapa ndio kwanza nimeamka nataka kuingia kwenye maombi ndio muda wake.Wakuu usiku wa leo nauona mrefu kinomanoma dah
Atakuwa kaweka gypsum board huyo mkuu.mwambie aangalie taa kwa muda dakika 10 bila kupepesa majicho.njaa itamwishahesabu misumari tu ya ceiling board

sawasawaAtakuwa kaweka gypsum board huyo mkuu.mwambie aangalie taa kwa muda dakika 10 bila kupepesa majicho.njaa itamwisha![]()
![]()
Swadaktaaaaasawasawa