[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sisi tushatumbuliwa komredi, wanafunzi siku hizi wanataka waalimu vijana, hensamu na wenye seven pack[emoji85]
Kiufupi tushakua Zilipendwa[emoji3]
Teh teh teh tehNasubiria tu
Sinaga papara, ujue ujirani wako na KK unaweza kuna kitu mmepanga mnifanyie saprisooooo
Teh teh tehKK tulia
Aaaaggghhhhrrr.Jamani pole, nilikuwa nimeweka earphones ndio maana sikusikia jamani [emoji26]
Missing you jirani yanguTeh teh teh
[emoji1] [emoji1] mwaka mpya na mambo mapya!! Ila wewe mchokoziNipo dear
Sijui kwa nn nafasi yako kwa Inna unaipoteza, naona kina dingi mtoto wakishika kasi
Ahahahaaaaaa sigidaaaAaaaggghhhhrrr.
Huu utandawazi nao umekuwa shida
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Silalibtena. Nyie vijana sio watu wazuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Una maana zile balimi na mwanafunzi Yule kwishney
Tunakufuatilia tu, hebu jipange kisawasawa maana sio kwa intelijensia iliyowekwa[emoji1] [emoji1] mwaka mpya na mambo mapya!! Ila wewe mchokozi
Hahaha juzi nikajaribu kumpa ofa ya bombadia, akaniambia saivi hatumii mataputapu tena anakunywa sijui Sminofu... Sijui inaitwa minofu, ngoja nikaangalie kwenye dikshenari narudi[emoji125] [emoji125]Una maana zile balimi na mwanafunzi Yule kwishney
Nakuham Hata nikiona huu mwandiko.Nasubiria tu
Sinaga papara, ujue ujirani wako na KK unaweza kuna kitu mmepanga mnifanyie saprisooooo
Angalia isije ikavute bangiTeh teh teh teh
Subira yavuta kheri mpenzi
Nimejipanga na soon, mtapewa mialiko tuombe uzimaTunakufuatilia tu, hebu jipange kisawasawa maana sio kwa intelijensia iliyowekwa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Ahahahaaaaaa sigidaaa
Hahahaha sie tutulie tu, wahenga walisema "Ya kale dhahabu" na pia "wazee ni hazina"[emoji41][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio maana Mwanafunzi wangu Thad simuoni wiki ya pili hii
Huenda kahama shule
cc carbamazepineNakuham Hata nikiona huu mwandiko.
Miss u mo Jirani kipenzi. Uwepo wako muhimu sana kwangu.Missing you jirani yangu
Tulia shem jmn, ndo nn tena? Kuna vitu ukiona ukirudi home ukiulizwa kama ulishamwona shem unakana. Umekuja kuwaje tena?Nimejipanga na soon, mtapewa mialiko tuombe uzima
Enhe nawe kamanda stunter umempiga chini
Kweli kabisa na watuache tule mema ya nchiHahahaha sie tutulie tu, wahenga walisema "Ya kale dhahabu" na pia "wazee ni hazina"[emoji41]