tonge nyama
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 380
- 502
Wakuu, natumia iphone 5 na nimeinstall jamii forum app, mara ya kwanza it was working fine, baada ya muda ikagoma kuleta update, zaidi ya mwezi hailetiupdate zozote, sio notification wala new post, tatizo linaweza kiwa ni nini?

Nakwangu pia haileti post mpya ila notification inatoa natumia ipad 4th generation. Msaada tafadhali
Still no luck, I get notifications on my android device but still notifications not working on iOS 8.
Asante sana mkuu, it's working fine now.Nimeona maneno yatakuwa mengi ila picha itakuongoza vizuri
View attachment 187187
Nimeona maneno yatakuwa mengi ila picha itakuongoza vizuri
View attachment 187187
Asante sana mkuu, it's working fine now.
Mkuu, pongezi nyingi sana, fainali inapiga mzigo.
Nashangaa sipati notifications za hii app no more.
Please, update your app!
The update should be available for your device.
Asante
Mkuu mbona notification sipati kama zamani kwa mlio wa msg wiki ya pili sasa mpaka ufungue kwenye notification forum.
Itakuwa ina uhusiano na Bunge la Katiba hio, si bure
Wewe unapata?
Napata kaka