JamiiForums Members Vs. TWAWEZA Tutafute Ukweli

JamiiForums Members Vs. TWAWEZA Tutafute Ukweli

Uchaguzi Wa Urais Ukiitishwa Leo Nani atashinda?


  • Total voters
    273
  • Poll closed .
:israel:,,,,,{DR WILBROD PETER SLAA},,,,,:cheer2::cheer2::cheer2::cheer2::welcome::welcome::welcome:......
 
Je mnaopiga kura ma Great Thinker mnasoma swali na kuelewa kabla ya kupiga kura? Hehehe. Unajua imebidi nicheke.

Swali ni, kura zikipigwa sasa je nani atakua raisi. (kwa uonavyo wewe)
swali sio UNATAKA NANI AWE RAISI!! Hayo ni maswali mawili tofauti kabisa kwa mtu yeyote aliyoko tayari kushirikisha akili.

Kuwa realistically speaking, unafikiri sasa hivi tuweke uchaguzi nani atapita?
Sasa kama bado utajibu Slaa huku ukiwa umeelewa swali sawa, lakini nahisi wengi hawajaelewa swali.

Mimi ningependa Slaa, ila najua tatapita Edward The Brain Lowassa. a.k.a. Lagwainan.
 
Hata mwaka 2010 Mzee Slaa aliibuka kidedea hapa JF lakini kwenye uchaguzi halisi akaangukia pua. Kura za mitandaoni sio za kutegemea sana, mtu mmoja anaweza kupiga kura zaidi ya mara moja, Pia wote tunafahamu huu mtandao wa JF umesheheni wanazi wa CHADEMA.
Bila kuchakachua na kutumia polisi kukwapua ushindi kwa nguvu, CCM haiwezi kushinda kamwe.
 
Edrward Lowassa
Wilbrod Slaa
Mizengo Pinda
Samwel Sitta
Hawa uliowaweka wote hawafai.
So ungeweka na kisanduku kingune cha hapana,maana hapa naona unataka kuwalazimisha watu kuchagua.

vipi Twaweza nayo ililazimisha watu kuchagua katika utafiti wao? Vipi kama nao wangekuwa na kisanduku cha hapana
 
Ingekuwa vizuri ukaweka na NONE OF THE ABOVE, ili kutoonesha kama unataka kutudrive Mkuu...
 
Hata mwaka 2010 Mzee Slaa aliibuka kidedea hapa JF lakini kwenye uchaguzi halisi akaangukia pua. Kura za mitandaoni sio za kutegemea sana, mtu mmoja anaweza kupiga kura zaidi ya mara moja, Pia wote tunafahamu huu mtandao wa JF umesheheni wanazi wa CHADEMA.

kura za mitandao na za twaweza zote zilipigwa na watu
 
Hata mwaka 2010 Mzee Slaa aliibuka kidedea hapa JF lakini kwenye uchaguzi halisi akaangukia pua. Kura za mitandaoni sio za kutegemea sana, mtu mmoja anaweza kupiga kura zaidi ya mara moja, Pia wote tunafahamu huu mtandao wa JF umesheheni wanazi wa CHADEMA.[/
QUOTE]

Msalani,unaamini uchaguzi ulikuwa huru na wa haki?Mimi siamini.Inawezekana Dk.Slaa hakushinda lakini matokeo ya kweli hayakuwa yale yaliyotangazwa.CCM wanayajua matokeo ya kweli ndiyo maana walighafirika sana baada ya uchaguzi.walionyesha hivyo kwa kumfukuza Tido Mhando,kuanzisha katiba mpya,kujivua gamba nk.
 
Kura zote za kumchagua dr. slaa ni ID ya mtu mmoja. Chadema mnajidanganya sana. Wapiga kura wa Tanzania ni wanawake wa mjini na vijijini ambao hawamjui wala hawajawahi kumsikia Dr. Slaa.
 
Raha yake wapiga kura wa Tanzania sio members wa JF..!
 
Back
Top Bottom