Edrward Lowassa
Wilbrod Slaa
Mizengo Pinda
Samwel Sitta
Hawa uliowaweka wote hawafai.
So ungeweka na kisanduku kingune cha hapana,maana hapa naona unataka kuwalazimisha watu kuchagua.
Kwa hiyo unakiri wazi eh?Mzee Slaa kura zake "ziliibiwa" na usalama wa taifa sio polisi.
Dr.slaa, president
Kila mtu mwenye akili timamu anajua kuwa Dr.slaa alishinda 2010.
Ni mburula anayeamini Slaa ishinda 2010
Kweli Bavicha na Bawacha wamejaa humu JF! Ila kwa ufupi tu, Dr Slaa Ikulu hatoingia.