JamiiForums Members Vs. TWAWEZA Tutafute Ukweli

JamiiForums Members Vs. TWAWEZA Tutafute Ukweli

Uchaguzi Wa Urais Ukiitishwa Leo Nani atashinda?


  • Total voters
    273
  • Poll closed .
Ukawa, wanajipa moyo kweli....!!!! Huku JF ni almost 90% Ukawa...!!! So Rais wa huku JF ni Slaa....!!!

But hawataamini macho yao, JINSI LYAGWANAN Lowassa akichukua nchi softly....!!!! Dr. Slaa hawezi kabisa to compete with Lowassa...!!!!

Lowassa 2015

Kumbe na ww ukawa ila umetoa changamoto coz hata mchele supa haukosi chuya so angalia halafu pita hv maana ww ni siasa tu na ushabk uhisi mabadilko
 
Na sibahatishi kad ipo ntapiga kula wengne co mnasema tu apa silaa afu kad hamna
 
Hata mwaka 2010 Mzee Slaa aliibuka kidedea hapa JF lakini kwenye uchaguzi halisi akaangukia pua. Kura za mitandaoni sio za kutegemea sana, mtu mmoja anaweza kupiga kura zaidi ya mara moja, Pia wote tunafahamu huu mtandao wa JF umesheheni wanazi wa CHADEMA.
 
Back
Top Bottom