JamiiForums Members Vs. TWAWEZA Tutafute Ukweli

JamiiForums Members Vs. TWAWEZA Tutafute Ukweli

Uchaguzi Wa Urais Ukiitishwa Leo Nani atashinda?


  • Total voters
    273
  • Poll closed .
Wapiga kura wa TZ siyo memba wa JF,waliojaa humu ni MASHABIKI JINA TU hawana hata vitambulisho vya kupigia kura

... Inaonekana Wewe Ni Kichwa, Yaan Unawajua Wanajf Wote? Hahaha, Unatisha Mkuu
 
Hapo hakuna mjadala, ni Dr Slaa tu. Sioni aliyemsafi zaidi ya Dr Slaa
 
Hata mwaka 2010 Mzee Slaa aliibuka kidedea hapa JF lakini kwenye uchaguzi halisi akaangukia pua. Kura za mitandaoni sio za kutegemea sana, mtu mmoja anaweza kupiga kura zaidi ya mara moja, Pia wote tunafahamu huu mtandao wa JF umesheheni wanazi wa CHADEMA.

hata wewe piga kura mara 1000 kwa ids tofauti bado chama cha tezi dume mtaangukia pua
 
Back
Top Bottom