MT KILIMANJARO
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 4,215
- 762
Dr. Slaa.
Slaa arejee karatu ajaribu bahati yake kwa kugombea ubunge. Pikipiki haina reverse.
Mkuu Ritz ...Naona Pro-Chadema JF mmeamua kuliwazana na kufarijiana mmeamua kutumia ID's tano tano kujipigia kura, mnasahau kuwa Tume ya Uchaguzi "NEC" inakataza kupiga kura mara mbili.
teh teh teh
Dr.Slaa ataendelea kuwa rais kivuli muda wote wa maisha yake ya kisiasa.