hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,629
- 74,037
hicho ni muhimu kwakweliMsisahau kitufe cha dislike.
hicho ni muhimu kwakweliMsisahau kitufe cha dislike.
Mshahara ungekuwa umetoka ningekutumia woteeeeMnaotaka muwekewe namna ya kubadili username hilo msahau kabisaaa, niliwahi kua kwenye mtandao mmoja wa live talk kulikua na hiyo option ya kubadili username looh mtu anakucopy name yako anakuchafua atakavyo kisha anarudisha jina lake wewe unaanza kuhaha kujisafisha maana watu wanajua ni wewe, ilikua mbaya sana.... kwa humu pia wanadhibiti hayo mambo ya multiple usernames.
Kitufe cha Dislike, cha nini sasa kama hujapenda post au comment ya mtu pita kimya kimya au sonya huko ulipo basi endelea na mada zingine.
Guys, mkumbuke hii ni FORUM.
Anatumaje pm na wakati amesahau password yake?Member akisahau password yake aandike pm kwenda kwa Invisible atatumishiwa password yake.
alaaa kumbe" mmewaza vyema sana', hayo ma dislikes yata totoa ugomvi humu" usiokuwa na mwisho" at end of the day", Jf itaonekana ni kama genge la wahuniTulishasema ni vigumu kuweka dislike; iliwahi wekwa ikawa league ya kisiasa ku-discredit hoja. Nadhani kiungwana mtu akiandika kitu hukubaliani naye, mpotezee wala usigonge LIKE. Au, mjibu kwa hoja makini zaidi
Sahihi sana. Sidhani kama nilieleweka. Siungi mkono kitufe cha Dislike. Ili kubalance Ukitoa Dislike ionekane kwako Umetoa ili Tuone Umedis mara ngapi.Hii kitu ni mbaya sana, kama hujapenda ujumbe wa mtu upotezee sio lazima u dislike.
Hii utawavunja moyo wengi na kukosa kujiamini, hasa unapoona michango yako mingi imejaa dislike.
Mwisho wa siku wote tutakuwa na mawazo yanayofanana ili kukwepa dislike...kitu ambacho sio afya njema kwa JF.
hapo ni nyie wenyewe mfungue thread iwe special for that sio lazima liongezwe jukwaa lingineMaxence Melo napenda kushauri ongezeni jukwaa la ujenzi ikiwa ni hitaji la muhimu kwa member wa JF ili kuweza kupeana elimu kwenye sekta hiyo nyeti hapa nchini,kama mmeweza kuweka jukwaa la Mahusiano,JF doctors,jukwaa la elimu n.k, basi pia naamini hamshindwi kuweka jukwaa la ujenzi kwa umuhimu wake.....Asante
Maxence Melo Maxence Melo Invisible Moderator JamiiForums
Mkuu naomba pia mjitahidi kudhibiti "Viwavi Jeshi".
Unakuta mtu kaanzisha uzi wa maana lkn wanavamia watu wachache/viwavi jeshi wanaanza kujichatisha mambo mengine na kuharibu uzi kabisa.

Hayo ni maoni yako kama yalivyo maoni yangu,otherwise wenyewe wataamua....hapo ni nyie wenyewe mfungue thread iwe special for that sio lazima liongezwe jukwaa lingine
okyHayo ni maoni yako kama yalivyo maoni yangu,otherwise wenyewe wataamua....
NakaziaMaxence Melo napenda kushauri ongezeni jukwaa la ujenzi ikiwa ni hitaji la muhimu kwa member wa JF ili kuweza kupeana elimu kwenye sekta hiyo nyeti hapa nchini,kama mmeweza kuweka jukwaa la Mahusiano,JF doctors,jukwaa la elimu n.k, basi pia naamini hamshindwi kuweka jukwaa la ujenzi kwa umuhimu wake.....Asante
Maxence Melo Maxence Melo Invisible Moderator JamiiForums
Hahahaha shukran sana kaka mkubwa.... tupo pamoja.Mshahara ungekuwa umetoka ningekutumia woteeee
Mkuu, hadi unampa mtu simu yako si umemwamini?Ondoeni hii kitu,haina privacy..mtu akishika simu yako tayari keshajua username yako!
tanzania haina utaratibu wa kutukuza/kuthamini .kuheshimu "watu wenye akili nyingi " system iliyopo madarakani sehemu kubwa imejazwa na vilaza " so , wanaogopa " kama"wakianza " kuheshimu watu wenye akili nyingi Sana" nakuwapa 1st priority",wewe wadhani "wao watakula wapi" ...!!!!? .. refer kilichomkuta Nondo " kilichoikut JF ..lissu " Pascal Mayalla" na mtu Kama azory"" ... .jiulize hivi Leo hii melo"" akisema ""anataka"" kugombea ubungo "unadhani " nchini patakalik " thubutuuu"Mmiliki wa hili janvi unajitahidi sana kupigania Uhuru wa kupata habari mitandaoni ,nashangaa tuzo wanazopewa akina diamond kwann usipewe MTU makini kama wewe (charismatic fella)
Hongera Kwa kutuleta pamoja wahenga
hili " huwa "linanisibu ..mnoo.Kuna Wakati ukijaribu kicomment kwa kutumia browser inakua kama inatema Yaani comment yako haionekani mpaka urudie tena ndio inakubali!
Tatizo huwa nini?
hahaaaaZaidi ya hii Quote yangu hutapata chochote zaidi! Kwenda huko!
Tusaidie kwa kuitumia REPORT buttonMkuu naomba pia mjitahidi kudhibiti "Viwavi Jeshi".
Unakuta mtu kaanzisha uzi wa maana lkn wanavamia watu wachache/viwavi jeshi wanaanza kujichatisha mambo mengine na kuharibu uzi kabisa.
hahaaaa",kwahiyo wale wazee wa kuwahi seat una waambiaje "?Asante Max.
Mi napendekeza kitu katika uzi, zile reply zenye like nyingi ndizo ziwe zinaonekana za kwanza.
Yani katika uzi, reply zinazo ongoza kwa like ziwe zinajipanga na kuonekana mwanzoni.
Hii itasaidia watu kujenga hoja, majibu kupatikana kwa wepesi, na watu kujikita katika uandishi mzuri.
Unakuta mtu kauliza swali lkn unakuta jibu sahihi lipo #80 , mwanzoni ni masihara matupu.
Sasa huyu wa #80 akifikiiwa watu watampa like na kuonekana wa mwanzoni.
Kiufupi, mpangolio wa reply usiwe kutokana na mtu kawahi, bali hoja zilizopendwa ma watu
Cc Maxence Melo
Huwa inakatisha tamaa sana tena unajikuta uliandika comment yako ndefu kweli!hili " huwa "linanisibu ..mnoo.