bro alex
JF-Expert Member
- Jul 15, 2025
- 1,898
- 2,256
Ilikuwa Jumatano siku za nyuma hivi mawiki kadhaa, niliamka masikini nikiwa na furaha TU vizuri, ndo nilipopata wazo la kutoa Uzi kubadilishana mawazo, katika hali isio tegemewa ghafla mambo yalienda tofauti, nilipolomoshewa matusi ya nguoni hadi wazazi wangu walitukanwa kwa makosa wasio yajua.
Kwa sababu NAMI si mnyonge nikaona isIWE kesi, nilijibu kwa ukali, moto uliwaka si mchezo, sikuangalia anae katiza mbele YANGU , nilijibu alivo kuja,
Miaka kadhaa nyuma Kuna Mzee alikuwa anasimulia vita ya Kagera, anadai mwalimu kipenzi chetu Mzee Nyerere hakuwa tayari kupigana vita ya Kagera na marehemu Idd Amin, baada ya Idd Amin kuvamia Kagera, Mzee alijitahidi kuomba msaada sehemu mbalimbali, jamani Idd Amin kanivamia naombeni msaada mtupatanishe aachie eneo langu, Inasemekana alikaushiwa, BAADA ya kuona kila anapoenda anakaushiwa akaona isiwe kesi, hakuna cha kazi na utu, atakae kaidi na apigwe.
Mzee akabeba wabongo akaingia forest kukabiliana na Idd Amin, nadhani kila mtu anajua kilichotokea.
Mimi NILIANZA kutukanwa, cha KUSHANGAZA, nilipo jibu nikaonekana mkorofi watu wakasahau mi ndo nilie anzwa kushambuliwa na kudhalilishwa utu wangu na huu utu uzima natukanwa kama mtoto. Nilijibu kwa ukali nilirusha makombora haswa, kumbe nao tukana nao ni ka Ukraine tu, mikwara kibao kumbe hakuna kitu, wakaanza kukimbia nilipambana mpaka kushinda vita, Alafu kwenye hali isio ya kawaida nikapigwa ban.
Tangu muda humu Kuna madada wawili wife material na cocastic NILIKUA nawalia hesabu MMOJA wao atiki, Nawa penda sana japo fake id NISIWE muongo SAMAHAN ka takosea nilianza kumtongoza cocastic sijui siku hiyo ilikuwaje na amini ilikua inaenda kuleta mwanga mtoto alijaa kiu laini asee ghafla Hawa nao Wakani piga ban mawasiliano yakakata, niliumia sana, mi ndo mdai ila nikaadhibiwa Tena dah, nilinyanyua mikono nikasema Yani napigwa ban ilihali mi ndo nmetukanwa na nikajibu kama wao, huenda ILE Dua ilifika mwezi haujaisha hata wiki mbili hazija Isha jf nayo chaliiii dadeki.
Sijafurahia ila nimeshangazwa na nguvu ilio mwilini mwangu kweli karma is real NILICHO JIFUNZA usimfanyie mtu ubaya malipo ni hapa hapa duniani, modes nasikia Huwa Wana Fanya MAAMUZI muda mwingine yanaumiza hayafati utu, nasikia wazee wamekuja ofisini mmekimbia sana poleni kumbe ni waoga, sahivi mikono shavuni mnavo jisikia nyie ndo sisi hujisikia mnapo tupiga ban ndugu zangu, tupendane sisi ni binadamu ni watz site ni ndugu. Samahani kwa nilio wataja MAJINA bila ridhaa yenu Nmezungumza tukio lilivo kua sio kwa ubaya.
Watukanaji Niko tayari kukabiliana na nyie muda wowote ukini tusi tajibu no retreat no surrender ubaya ubwela, sina kipengele labda mje nacho nyinyi, usiku mwema chaooooow
Fullstop, kwishaaaaa