JamiiForums imekuwa sehemu ya kukwamisha mabadiliko halisi kwa kuwa kichaka cha waoga?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
57,243
Reaction score
90,302
Nimeona mbunge mmoja wa Kenya anasema Tanzania mtu akidhulumiwa haki zake au akionewa atakaa kimya au atakimbilia mitandaoni tena kwa ID za kificho kutoa malalamiko yake.

Hii kauli inafikirisha ukiangalia jinsi mtandaoni watu kupitia ID za kificho(anonymous) walivyo wengi na wenye moto na harakati kubwa sana lakini mara nyingi huwezi kuuona uhalisia huo mitaani.

Nina uhakika kuna watu wengi wanaomwagika hapo JF wakipinga na kushambulia mambo mengi mabaya na ya hovyo ndio hao hao pia ambao wanasifia wakiwa mbele ya watu huko mitaani.
 
sasa wewe unataka watekwe? Sidhani kama ni sahihi kutolinda uhai wako. Kwa Lisu , samia anaogopa kumuua anaweza kumletea shida. Wewe/mimi nani atakutetea?
 
Jamii Forums pia sio jukwaa huru. Kuna nyuzi nyingi sana watu wanaelezea concerns zao kubwa kuhusu yanayotokea kwenye jamii alafu wanazifuta. Kuna censorship kubwa sana humu.

Wakati wanachadema wamekamatwa kisutu tarehe 24 April kuna mzee alilalamika kuvuliwa nguo na kufanyiwa vitendo vya ulawiti. Malalamiko hayo yametolewa na Mwanaharakati wa Uganda. Niliweka uzi humu kipindi kile kuhusu polisi kuwalawiti watuhumiwa wakaufuta.

Yale waliyofuta leo yamefika hadi vyombo vya habari vya kimataifa.
 
Nimeona mbunge mmoja wa Kenya anasema Tanzania mtu akidhulumiwa haki zake au akionewa atakaa kimya au atakimbilia mitandaoni tena kwa ID za kificho kutoa malalamiko yake.

Hii kauli inafikirisha ukiangalia jinsi mtandaoni watu kupitia ID za kificho(anonymous) walivyo wengi na wenye moto na harakati kubwa sana lakini mara nyingi huwezi kuuona uhalisia huo mitaani.

Nina uhakika kuna watu wengi wanaomwagika hapo JF wakipinga na kushambulia mambo mengi mabaya na ya hovyo ndio hao hao pia ambao wanasifia wakiwa mbele ya watu huko mitaani.
Si jamii forums tu, almost social media zote. Mara ngapi watu wanamtumia mange matatizo badala ya kusema wao wenyewe, mara ngapi wanatumia false id
 
JamiiForums ndio inaongoza kutumia False IDs
 
Nimeona mbunge mmoja wa Kenya anasema Tanzania mtu akidhulumiwa haki zake au akionewa atakaa kimya au atakimbilia mitandaoni tena kwa ID za kificho kutoa malalamiko yake.

Hii kauli inafikirisha ukiangalia jinsi mtandaoni watu kupitia ID za kificho(anonymous) walivyo wengi na wenye moto na harakati kubwa sana lakini mara nyingi huwezi kuuona uhalisia huo mitaani.

Nina uhakika kuna watu wengi wanaomwagika hapo JF wakipinga na kushambulia mambo mengi mabaya na ya hovyo ndio hao hao pia ambao wanasifia wakiwa mbele ya watu huko mitaani.
Ni kweli Wakenya hawana Jamiiforum wala hawajifichi
 
Unadhani kwanini Askari wa Uyahudi walikuwa hawamjui Yesu hadi ikabidi wamuhonge Yuda Iskarioti awasaidie kumtambua?

Muwage mnatumia akili na nyie 🐼
 
sasa wewe unataka watekwe? Sidhani kama ni sahihi kutolinda uhai wako. Kwa Lisu , samia anaogopa kumuua anaweza kumletea shida. Wewe/mimi nani atakutetea?
Halafu ndio mnadanganyana eti No Reform, No Election itazuia Uchaguzi Mkuu usifanyike? PUMBAVU!!!
 
Back
Top Bottom