JamiiForums ilivyonibadilisha maisha

JamiiForums ilivyonibadilisha maisha

Ungeelezea huo ushauri ulihusu nini hasa na uliutumiaje mpaka ukakufaa,huenda maelezo yako yakamfaa na mwingine ambaye hakuuona huo uzi uliousoma wewe.
Pole sana mkuu. Mtz kukupa connection za mikwanja ni ngumu sanaaa... Ila connection za ngono ni chap tu.
 
Hongera sana. Mara nyingine huwa tunahitaji mawazo tu au ushauri ili tuweze kupiga hatua kwenye maisha.
 
Back
Top Bottom