Kuna mmoja ni mke wa mwanangu ni pisi vibaya sana , ila analima mpunga sana huyo dada , asingekua anajituma wangempokonya , yeye mwamba kaendekeza ulevi tuNa huwezi ukawakuta wanajisifia au kujisikia, labda ukiwaletea ujeuri wako ndio utashangazwa, ila wengi wapo low key aisee yule kaka yetu amepata mke bwana! Kajua kutulizana!
Huyu ni mweupe tu au ni pisi? Au vyote kwa pamoja?
Yes! Kwa kias fulani anafaa kuliko hizi bila smartphone humuoi 😂Kwamba mwanamke wa kuoa ni yule aliyepitwa na wakati ! Au bado sijaelewa hoja yako!
Wala wasukuma sio wa aina hiyo kama wenu, wanavumilia na hawana tamaa, mwanaume akiwa na mapungufu anavumiliwa mpaka ashindikane kabisa anaachwa anaingia mwingine ila sio Kirahisi rahisi tu, tumefunzwa uvumilivu!Kuna mmoja ni mke wa mwanangu ni pisi vibaya sana , ila analima mpunga sana huyo dada , asingekua anajituma wangempokonya , yeye mwamba kaendekeza ulevi tu
Hio ndio sababu sitaoa usukumani bila kumzidi harmonize utajiri 😂, mahali sawa na utajir wa harmonize wawili 😂hawa wasukuma tabora mabint walio tunzwa, hapo kumtoa kwao andaa ng'ombez 40.
Wengi mabikra
Hamna mke hapo 😂 mzeeHawa ni wakijijini ndani ndani bado hajajua kuoga, just imagine View attachment 3632434
Bora hata mimi napambana na jagina taratibu...😋Anamkomesha mwanae au aliwaroga waachane mzee mpumbavu huyu!🫢
Hata wetu ni wavumilivu sana sema tu watu wamekaririWala wasukuma sio wa aina hiyo kama wenu, wanavumilia na hawana tamaa, mwanaume akiwa na mapungufu anavumiliwa mpaka ashindikane kabisa anaachwa anaingia mwingine ila sio
Kirahisi rahisi tu, tumefunzwa uvumilivu!
Ukisema hakuna kabila lenye wanawake wazuri kuliko Wasukuma hili ni dai la jumla ambalo haliwezi kuthibitishwa kwa maoni binafsi kiongozi. Na ukisema nenda ukaone, bado hujathibitisha hilo. Umenialika nikakubaliane na maoni yako.Nithibitishe kipi...
We nenda wasukuma wanapopatikana kanda ya ziwa..
Kwa makabila yote Tanzania kwenye 3 bora ya wanawake wenye maumbo mazuri.. wasukuma wamo.. tena kwenye mikia itakuwa wanaongoza..
We mzee umeshindikana🤣Bora hata mimi napambana na jagina taratibu...😋View attachment 3632444
Wengi wape bwana we!Hata wetu ni wavumilivu sana sema tu watu wamekariri
Huyu anasifa zote za ndani,Ukute ana ex zaid ya 5Huyu ni mweupe tu au ni pisi? Au vyote kwa pamoja?
Kwamba kushuka kweny gari hadi umbebe ahBora hata mimi napambana na jagina taratibu...😋View attachment 3632444
Now tunabadilishana🤣Wengi wape vwana we!
Wanawake wa makabila gani hawana haiba ya kike?Naunga mkono hoja ni wazuri sana, na bado wana haiba ya kike , Kongole kwao.
Si kweli.Hapo kwenye makebo na umbo mnyumbuliko nakataa.
Wasukuma wengi wao wana shape za simba.
Mimi ni kaka yao kwahiyo niandikacho ni uhakika.
Tena ukitaka kuoa Msukuma og wala usijichanganye kwenda lake zone. Nenda Mpanda, Mbeya au Malinyi huko ndo kuna wasukuma wenye maadili mazuri ila mahari yake imechangamka haswa.
Hiyo ni mada nyingine kabisa , ifungulie uzi , hapa ni uzi wawasukumaWanawake wa makabila gani hawana haiba ya kike?
SahihiUkisema hakuna kabila lenye wanawake wazuri kuliko Wasukuma hili ni dai la jumla ambalo haliwezi kuthibitishwa kwa maoni binafsi kiongozi. Na ukisema nenda ukaone, bado hujathibitisha hilo. Umenialika nikakubaliane na maoni yako.
Kwa mfano mtu wa kabila jingine angeleta kauli hiyo hiyo akiwatetea watu wake, ungeikubali bila ushahidi au ungeona ni mtazamo wake tu?
Na tatizo si ushahidi wako. Tatizo ni kwamba madai yako hayawezi kuwa fact. Yanaweza kuwa mawazo yako au yangu binafsi tu.
Kama angeandika hivi:
Kwa maoni yangu, Wasukuma wana wanawake wazuri kuliko makabila mengine.
Hapo wala kusingekuwa na tatizo kwasababu hayo ni maoni yake.
Mwamba hapo unaleta ubishi sasa.Si kweli.
Hao wenye maumbo ya simba wapo Mbeya.
Milion 4ukija kuoa usukuman kama ni binti andaa million 1 had 2 hapo.
TABORA na MBEYA pia MPANDA huko wasukuma wahuko ni wafugaj. ukienda kule usishangae unaambiwa utoe ng'ombe 50 za kutembea
Kama ni mkubwa hakuwah kuolewa au amezaa laki tano tu ya zawad kwa wazaz