Jamii Photos............Say Something Here.

There is only one person, not two in this photo.
 
Jamaa kalalia mkono wake wa kushoto huku akiwa amejishika kichwa kwa mkono huo huo.
 
Kamuachia mtoto mkono wa koti kenda chepukwa

Ulivyosema mkono wa koti umenikumbusha secondary kuna jamaa alikuwa anataniwa mkono wa sweater mkono wa sweater................alikuwa hajamuondoa jamaa mpaka yupo sec. ikawa anachukia mpaka mwisho akawa anaitikia asee,LOL.
 
Jamaa kalalia mkono wake akaupitisha chini ya kichwa..

Hii stail ya kulala naipenda sana
 
Ulivyosema mkono wa koti umenikumbusha secondary kuna jamaa alikuwa anataniwa mkono wa sweater mkono wa sweater................alikuwa hajamuondoa jamaa mpaka yupo sec. ikawa anachukia mpaka mwisho akawa anaitikia asee,LOL.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ