Jamii forums katika tapatalk

Gogle

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
1,495
Reaction score
871
Salam,

Nimeona kuna members hapa jf wanapost kwa kutumia app ya tapatalk, Mimi natumia tapatalk kwenye iPad kwa muda mrefu Lkn kwa ajili ya forums tofauti sio jf.nimejaribu kusearch jf kwenye tapatalk sijafanikiwa, mwenye kujua inapatikanaje naomba anijulishe, nimetafuta kwenye category za society na news sijaiona.
Naombeni msaada.
 
Jamiiforums wamejitoa Tapatalk hivi karibuni wiki kadhaa ilikua inapatikaka kwa ku i-search katika app ya Tapatalk lakini siku za hivi iaribuni wameitoa haipatikani, bila sababu yeyoye natumai Young Master na Invisible watatueleza kinagaubaga kwanini haipatikani??
 
Last edited by a moderator:

Umejuaje wamejitoa? Mbona mie nnaipata hata sasa ivi ?

 
Last edited by a moderator:
ni kweli kwa sasa haipatikani, hata mimi nimeliona hilo
 
Sasa hivi nakujibu kupitia Tapatalk. Labda inategemea unatumia OS gani.

Sent from my Lumia phone using Tapatalk

 
android 4.2.2, issue ni kwamba kama ulishaipata kwa tapatalk tangu mwanzon haina shida, ila kwa new users au kama mimi nilifanya unistallation halafu nikareinstall, inatakaa ukiitafuta
 
android 4.2.2, issue ni kwamba kama ulishaipata kwa tapatalk tangu mwanzon haina shida, ila kwa new users au kama mimi nilifanya unistallation halafu nikareinstall, inatakaa ukiitafuta

Sio android 4.2.2 hii mimi nadhani ni kutokana na updates za tapatallk maana mie tangu ni update siioni JF kabisa and niki unstall tapatallk na ku install upya ninapo signin na acc yangu ya tapatallk zinakuja forums zote ambazo lizi add bahat mbaya kabisa JF nayo inakuja then ina disappear hapo ndio utata unapoanza
 
Last edited by a moderator:
Mimi mbona naipata? Hata sasa hivi nimefungua simu JF inapatkana tapatalk!

Umeambiwa kwa mliokuwa nayo kwenye device zenu tangia muda,mnaipata.Tatizo ni kwa subscribers wapya,walioinstall tapatalk recently hawaipati.Tumsubirir Invisible afanye makeke!
 
Last edited by a moderator:
Umeambiwa kwa mliokuwa nayo kwenye device zenu tangia muda,mnaipata.Tatizo ni kwa subscribers wapya,walioinstall tapatalk recently hawaipati.Tumsubirir Invisible afanye makeke!

nimeinstall tapatalk juzi..jf siipati vip ww unaipata?
 
Last edited by a moderator:
Kwa sasa kweli haipatikani, kipindi ilipopatikana nilifanya buckup pamoja na data zangu, so hata niki format simu nafanya restore tu naendelea na Tapatalk. Siku ukipata fanya buckup haraka .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…