πππππMimi nashauli na uyu Mwalimu wa Zamu Tz
Apewe kitengo Cha ufagiaji na bustani apo mikocheni apate kujiongezea kipato maana sio kwa gubu hili
Haiombwi ivyo
ππππ jamaa anataka kumuharibia mtu kibarua chake dah kweli wabaya ni watuKwahiyo amfukuze IT aliepo sahivi
Au ni akaunti yake anajipigia promo? ππππππ jamaa anataka kumuharibia mtu kibarua chake dah kweli wabaya ni watu
π€£π€£π€£π€£ dah kweli kaka unaweza kuta ni akaunti yake dah JF nime πππAu ni akaunti yake anajipigia promo? ππ
Shukrani MkuuSafi sana mkuu. Hongera sana
Asante MkuuNzuri, hongera!
Kwa sasa sina darasa boss, nina majukumu mengineWakupe tu mchongo
Mkuu unaweza, hauna darasa?
Haipo live , imefanyiwa test kwenye development environmentTunaweza kuidownload? Tuitest
Shukrani MkuuSafi sana kaka, na Hongera pia..