Cybercurex
Member
- Jan 19, 2023
- 98
- 238
Shukrani kakaWTM π umedesign vizuri sana hongera!
Shukrani kakaHongera sana kaka
Kwahiyo hiyo flutter ndiyo inatumika kwaajili ya kutoa clone za app au unaweza kutengenez app mpya
Nashukuru kwa mawazo yako kaka π. Hii design nimeifanya tu kwa fun na practice ili ku-improve skills zangu kwenye Flutter. Sio kwamba najipendekeza au kutegemea support kutoka JF, ila ni sehemu ya kujifunza na kujaribu different ideas.Dogo achana na JF they dont give a f*ck hawatakusaidia chochoote App lao lipo toka miaka na Miaka unafkiri hawaioni ilivyo ya kishamba? wewe kupitia hiyohiyo AI tafta idea then develop App zako acha kujipendekeza kwa hawa kenge
Kwa kweli amchukue huyu kijanaa.Maxence Melo, mtafute huyu kijana haraka umpe kazi. Baada ya hapo utaangalia mwenyewe sasa kiasi cha kunipoza kama shukrani.
Kwa kweli atuambie hapa.Tunaweza kuidownload? Tuitest
Kwahiyo amfukuze IT aliepo sahiviKwa kweli amchukue huyu kijanaa.
Haswaaa!! ππππKwahiyo amfukuze IT aliepo sahivi
Dogo achana na JF they dont give a f*ck hawatakusaidia chochoote App lao lipo toka miaka na Miaka unafkiri hawaioni ilivyo ya kishamba? wewe kupitia hiyohiyo AI tafta idea then develop App zako acha kujipendekeza kwa hawa kenge
Maxence Melo, mtafute huyu kijana haraka umpe kazi. Baada ya hapo utaangalia mwenyewe sasa kiasi cha kunipoza kama shukrani.