Jamii forum kuperuzi bila virtual private network hupati habari

Haiwezekani mkuu, ni kama wale jamaa kipindi kile walienda airport kwamba Mungu amewaambia wapande Ndege Bure wakaihubiri injili Duniani kote, bila hata kitambulisho chochote.
Hao jamaa walikuliwa kuupanda bure? 😂
 
Sometimes ndumba zinasave sana.. Nilikuwa online muda wote bila bundle wala vpn😎
Mkuu rasimisha bundle la ndumba unanze kula not D9 inakuja tuwe tuwacheka tu wakikata😀
 
Huku nilipo leo internet haikuwepo alfajiri nikajua wamefanya yao tena.

Hata VPN ilikuwa haiunganishiki tena bila shaka wanatest mitambo.
Ni kweli kabisa,

Mimi nilijaribu mara kadhaa kuweka airplane mode na kutoa bado ikawa haishiki, nilijaribu mara kadhaa kurestart simu bado pia ikawa inakataa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…