Huyu mume ni Nyani Ngabu ?
Hivii nishawah kusema Nyani Ngabu ni mume wangu??????aliekuambiaa huyo ndio mme wakee asinikwepeshee mieee au unapenda kumfaham???
Nashangaa nishapewaa mumeee watu bwanaaaa lol kwa umbeaa watasutwaaa mme wangu yupo kimyaa wala hawamjuii
Hivii nishawah kusema Nyani Ngabu ni mume wangu??????aliekuambiaa huyo ndio mme wakee asinikwepeshee mieee au unapenda kumfaham???
Lilikuwa swali tu...labda sababu Nimeona mnapendezana ...ni swali tu..
Hmm....umeona wapi kuwa tunapendezana?