Jamhuri ya Shirikisho la Brazil | República Federativa do Brasil

Hadi mwaka uishe nahisi nitakua nimezunguka nchi zoote...

Hivi copa cabana ndio= VEIS? Kama sio,umenikatili sana aisee(ungeizungumzia hata kidogo tu).
Hakika! Tutafika kila pembe.
-
Copa Cabana ni fukwe safi na nzuri yenye ukubwa wa aina yake inapatikana jijini Rio de Jeneiro

Chanzo cha fukwe hii ni kutokana na upanuaji kuzuia bahari kuharibu miundombinu mnamo miaka ya 1970.
 
maendeleo ya kuvunja na mundu
Kweli hii nchi ni moto was kuotea mbali
Duh! ni atari fire
Hakika ni taifa kubwa kwa masuala mbalimbali kuanzia eneo, uchumi, elimu, sanaa, teknolojia, sayansi, michezo na muziki.
 
Kuna mwaka kama sio juzi iliupiku Uingereza kama taifa la 5 lenye uchumi mkubwa Duniani.

Brazili wako vizuri sana, ni very powerfull kiuchumi inazipiga fimbo nchi nyingi sana za Ulaya wakina spain hao hawafuati kwa Brazili
 
Hakika, moja ya taifa kubwa hili

Ajabu ya taifa hili linazo balozi Afrika nzima isipokuwa mataifa ya Chad, Niger, Sudan Kusini, Madagascar na Djibouti.
 
Nasikia pia Brazil kuna magenge mengi ya uhalifu na dawa za kulevya.In miongoni mwa nchi zinazoongoza kwa vitendo Vinci vya uhalifu.vipi unaliongeleaje hili?
 
Nasikia pia Brazil kuna magenge mengi ya uhalifu na dawa za kulevya. Ni miongoni mwa nchi zinazoongoza kwa vitendo vingi vya uhalifu, vipi unaliongeleaje hili?
Hakika,

Magenge ya kialifu na makundi ya madawa ya kulevya yanapatikana kwa kiasi kikubwa hasa katika miji ya Rio de Jeneiro, São Paulo, Curitiba na Florianopolis

Lakini hivi karibuni kumezuka hali hiyo kwa kasi katika mji wa Cuiaba na Nova Iguacu hali iliyopelekea mauaji na utekaji wa watoto na hata watu wazima.
 
Nini kilichangia nchi za Hispania na ureno kushuka sana kiuchumi na kiushawishi hadi kwenye makoloni yake waliyokuwa wanayakalia tofauti na ufaransa uingereza na kidogo ujermani na Ubelgiji
 
Nini kilichangia nchi za Hispania na ureno kushuka sana kiuchumi na kiushawishi hadi kwenye makoloni yake waliyokuwa wanayakalia tofauti na ufaransa uingereza na kidogo ujermani na Ubelgiji
Oh! Nimepitia hapa na kuona hili swali, sorry for late response lakini nitawaita wataalamu tuzungumze hili.

Proved CHASHA FARMING Drone Camera T14 Armata na wengine wengi.
 
Back
Top Bottom