Jamhuri ya Cuba | República de Cuba

mtembea kwa miguu umeuliza "Mkuu back to Cuba thread, inakuaje marekani awafunge wafungwa wa ugaidi Guantanamo ilihali Cuba na wamarekani ni paka na chui?"

Guantanamo ni jiji linalopatikana Guantanamo Bay katika taifa la Cuba iliyokuwa koloni la Uhispania.

Ndani ya Guantanamo, Guantanamo Bay ndio sehemu utakuta Guantanamo Bay Naval Base ambayo inamilikiwa na Marekani. Ndani ya Naval Base ndio kunapatikana gereza la Guantanamo.

Kwa mujibu wa Marekani wanadai Guantanamo Bay ni eneo lao na mujibu wa Cuba na Uhispania iliyokuwa koloni la Cuba hudai ni eneo la Cuba hivyo Marekani ametumia mabavu na unyanganyi kuchukua eneo dogo ndani ya Guantanamo.

Kwa mfano, Leo hii Marekani iingie ndani ya Kigamboni na kutengeneza base ya Kigamboni Bay Naval Base na kuweka mifumo ya kijeshi na gereza.
 
Aaaah thanks kwa kuniongezea maarifa ya jamii.

Huyu muamerika ni mbabe!, sometimes huwa namkubali kiduku anavyomdindia muyuesiea.

Kama hutajali niongeze kwenye tag list yako unapotoa makala mpya. Napenda kuzijua nchi za mbali kwa nyanja unazoelezeaga. Kwa vile sina mpunga wa kutalii na kufika huko kupitia app hii ya jf huwa unanisafirisha kwa kulipia visa ya utalii. Be blessed.

NB uwe unaongeza na tamaduni za watu wa nchi unayoongelea
 
Zamani Cuba na Marekani walikuwa na ushirika katika eneo hilo la Guantanamo baadae US amekataa kuondoka, sawa na Iraq na Afghanistan tusubiri Kenya.

Sawa nitafanya hivyo be blessed.
-
Unamaanisha tamaduni kwa mtazamo upi?
 
Cultural norm's and believes. Mfano hao watu wamexico inasemekana walikuwa wakiabudu kwenye miungu ya kutoa sadaka ya watu, hii MaryGibson amejaribu kuielezea kwenye film yake ya Apokalpto na baadhi ya pyramids kwenye ile filam ile mpka leo zipo na zingine umeziambatanisha kama sehem za utalii wa wamexico.
Mwingiliano wa jamii kwa jamii ukoje baina ya wao kwa wao na watu wengine.
Zingine kukuuliza hapa it might be so deep kwako kuzijua hadi kwenye makumbusho yao
 
Vyakula pendwa ndani ya Kuba ni vyenye tamaduni ya Uhispania, Latini na Afrika.

View attachment 1468812

Chakula kikuu chenye kutumiwa na wengi ni Wali wenye kutiwa kitunguu saumu, iliki na mdarasini pia maharage yenye kuungwa vyema na nyanya pamoja na tui la nazi.

View attachment 1468786

Ufikapo Kuba usiseme Wali, sema Ropa Vieja au Moros y Cristianos.
Aisee mkuu uko vizuri Sana

UBARIKIWE SANA
 
Cultural norm's and believes. Mfano hao watu wamexico inasemekana walikuwa wakiabudu kwenye miungu ya kutoa sadaka ya watu, hii MaryGibson amejaribu kuielezea kwenye film yake ya Apokalpto na baadhi ya pyramids kwenye ile filam ile mpka leo zipo na zingine umeziambatanisha kama sehem za utalii wa wamexico.
Mwingiliano wa jamii kwa jamii ukoje baina ya wao kwa wao na watu wengine.
Zingine kukuuliza hapa it might be so deep kwako kuzijua hadi kwenye makumbusho yao
Ukifuatilia mada zangu naepuka sana kuzungumzia masuala ya tamaduni na imani kwa sababu nikuwagawanya watu kwa ukabira, rangi, umimi na udini.

Ukiona kuna jambo sikuoredhesha basi uliza nitalitolea ufafanuzi endapo nafahamu (Kama inawezekana).
 
mtembea kwa miguu umeuliza "Mkuu back to Cuba thread, inakuaje marekani awafunge wafungwa wa ugaidi Guantanamo ilihali Cuba na wamarekani ni paka na chui?"

Guantanamo ni jiji linalopatikana Guantanamo Bay katika taifa la Cuba iliyokuwa koloni la Uhispania.

Ndani ya Guantanamo, Guantanamo Bay ndio sehemu utakuta Guantanamo Bay Naval Base ambayo inamilikiwa na Marekani. Ndani ya Naval Base ndio kunapatikana gereza la Guantanamo.

Kwa mujibu wa Marekani wanadai Guantanamo Bay ni eneo lao na mujibu wa Cuba na Uhispania iliyokuwa koloni la Cuba hudai ni eneo la Cuba hivyo Marekani ametumia mabavu na unyanganyi kuchukua eneo dogo ndani ya Guantanamo.

Kwa mfano, Leo hii Marekani iingie ndani ya Kigamboni na kutengeneza base ya Kigamboni Bay Naval Base na kuweka mifumo ya kijeshi na gereza.
Hi kitu hata Mimi ilikuwa inanisumbua Sana!

Asante kwa kuniongezea maarifa mkuu
 
Ukifuatilia mada zangu naepuka sana kuzungumzia masuala ya tamaduni na imani kwa sababu nikuwagawanya watu kwa ukabira, rangi, umimi na udini.

Ukiona kuna jambo sikuoledhesha basi uliza nitalitolea ufafanuzi endapo nafahamu (Kama inawezekana).
Sidhani kama maandishi yako ya nchi za mbali yanaweza kumugawa mtu humu kwa imani yake! Kama ni hivyo basi mtu huyo atakuwa alishajigawa kitambo na si wew uliemugawa.

Nilienda usukumani kujifunza tamaduni zao "BUJORA" bahati nzuri ulikuwa msimu wa ngoma zao za sherehe. Makundi kutoka sehem mbalimbali usukumani yanashindana, moja ya nyenzo ushinde ni kuloga audience wawe wengi kwenye ngoma yako. Hapo nilishuhudia watu wanalogana live and I was so excited kuona watu wanalogana.

Nilienda mara nikakuta vijana wanatahiriwa kwa kisu bila ganzi halaiki ya watu inashuhdia ukijitikisa tu hapo inahesabika umelia so kwenye jamii wew sio mwanaume jasiri.

Hivi vitu haviwagawi watu bali inakuwa ni sehem ya kujifunza tamaduni.
 
Sawa sawa nitalifanyia kazi.
 
Back
Top Bottom