Wacuba waliwazalisha sana wanawake wa Angola mpaka Gringo mmoja wa chombo cha habari cha makaburu akaanza kueneza propaganda kuwa wanajeshi wa Cuba wenye asili ya kihispania wamekuja kuwadhalilisha wanawake weusi kwa kuwatia mimba na kuzaaaazaa nao hovyo,Castro akajibu wao hawana tabia na utamaduni wa kishenzi na ubaguzi kama wao,Cuba uwe Mureno,Gringo,Negro kulana ni kulana tu,Vile vile aliingia Namibia na akasema kama kaburu atendeleza ushenzi wake abanduki Namibia na atasogea mpaka South,kwa kifupi waliisaidia sana MPLA dhidi ya makaburu,walipeleka wataalamu wengi Angola lakini kwenye kilimo cha miwa walifeli vibaya sana kwani miwa iliyokuwa inaota Cuba haikuweza kustawi vizuri Angola.Viva El comandante Viva Fidel Castro.