Jaap! Mataifa mengi ya Afrika yanapokea madaktari wa Cuba.Hakika mkuu, huku Zanzibar kuna madaktari wengi sana wa Cuba kila mwaka wanakuja kisaidia sector ya afya
Asante Sana kwa kuchochea mada na historia hii.Wacuba waliwazalisha sana wanawake wa Angola mpaka Gringo mmoja wa chombo cha habari cha makaburu akaanza kueneza propaganda kuwa wanajeshi wa Cuba wenye asili ya kihispania wamekuja kuwadhalilisha wanawake weusi kwa kuwatia mimba na kuzaaaazaa nao hovyo,Castro akajibu wao hawana tabia na utamaduni wa kishenzi na ubaguzi kama wao,Cuba uwe Mureno,Gringo,Negro kulana ni kulana tu,Vile vile aliingia Namibia na akasema kama kaburu atendeleza ushenzi wake abanduki Namibia na atasogea mpaka South,kwa kifupi waliisaidia sana MPLA dhidi ya makaburu,walipeleka wataalamu wengi Angola lakini kwenye kilimo cha miwa walifeli vibaya sana kwani miwa iliyokuwa inaota Cuba haikuweza kustawi vizuri Angola.Viva El comandante Viva Fidel Castro.
Fuatilia Rodrigo Duterte ana baadhi ya vikwazo.Ufilipino? mh hakuna kitu kama hicho
Beberu nilisahau kufanyia tagging, niwie radhi! 😊Hakika asubuhi yangu imefunguliwa vyema kabisa
Hakuna ubaguzi wa rangi kwa majority! Ni moja ya taifa lenye kujinasibisha na Afrika.Hakuna ubaguzi wa rangi huko?
Makundi makundi hayawezi kukosa lakini kwa Cuba hali ni shwari kabisa, tatizo internet!Hakuna makundi ya kihuni yanayosumbua sana huko? Huwa naona S.America ni watata sana kwa hizi mambo
Internet haipo?Makundi makundi hayawezi kukosa lakini kwa Cuba hali ni shwari kabisa, tatizo internet!
Cuba lazima nikatembelee wakati nina nguvu maishani. Asante kwa mada yenye taarifa nzuri.
Ni kweli kama sio Cuba, basi MPLA ingeshindwa kirahisi Sana na UNITA iliyokuwa ikisaidiwa na serikali ya makaburu, Zaire ya Mobutu na Marekani.Wacuba waliwazalisha sana wanawake wa Angola mpaka Gringo mmoja wa chombo cha habari cha makaburu akaanza kueneza propaganda kuwa wanajeshi wa Cuba wenye asili ya kihispania wamekuja kuwadhalilisha wanawake weusi kwa kuwatia mimba na kuzaaaazaa nao hovyo,Castro akajibu wao hawana tabia na utamaduni wa kishenzi na ubaguzi kama wao,Cuba uwe Mureno,Gringo,Negro kulana ni kulana tu,Vile vile aliingia Namibia na akasema kama kaburu atendeleza ushenzi wake abanduki Namibia na atasogea mpaka South,kwa kifupi waliisaidia sana MPLA dhidi ya makaburu,walipeleka wataalamu wengi Angola lakini kwenye kilimo cha miwa walifeli vibaya sana kwani miwa iliyokuwa inaota Cuba haikuweza kustawi vizuri Angola.Viva El comandante Viva Fidel Castro.
Internet ipo lakini ni gharama! Inasimamiwa na kufuatiliwa na serikali kwa ukaribu kabisa.Internet haipo?
Upo cuba kwa sasa?Internet ipo lakini ni gharama! Inasimamiwa na kufuatiliwa na serikali kwa ukaribu kabisa.
Suala la mtumiaji kuwa na privacy hamna!
Aisee nimefurahi kuona ukifuatilia mziki halisi na safi!
Hapana! Nasogea Mexico sasa 😀😁Upo cuba kwa sasa?
Sana vilevile historia kuntu ya Cuba..ningependa kutinga Havana
Sí amigo..hablo español un poco. y tu? 🙂Unazumgumza Kihispaniola? 😊
¡Sí! un poquito también.Sí amigo..hablo español un poco. y tu? 🙂
¿Eres originario de países de habla hispana?Sí amigo..hablo español un poco. y tu? 🙂