Jamhuri: Pinda agongana na bilionea Dar!

Jamhuri: Pinda agongana na bilionea Dar!

------ wa bagamoyo awezi fanya kitu,subiri mipasho na kuwananga wenzake,kama unakumbukumbu nzuri,mara tu mmiliki wa home shopping centre alivyo mwagiwa tindikali JK alitumia gharama za walipa kodi akaenda kumpa pole kule afrika ya kusini unajua kisa ni kipi?
mr Home shopping centre kwenye biashara zake yupo ubia na mama SALMA
na alishawahi kumpiga kwa bastola mfanyakazi wake huku akitamba kuwa serikali yote ameitia mfukoni
hii ndio nchi ya Tanzanianchini ya utawala wa JK

Dah inasikitisha sana kama vile nchi aina serikali
 
ukiona mwanaume amekubali kuwa amelawitiwa ujue hii kitu ni seirous na kama nayo itapita... basi tutachinjana sooner kuliko tulivyotegemea
 
Huyu, mdosi namfahamu sana, kamwibia sana Ally, mdosi hapa anavungavunga tu, Ally aliposhtukia wizi wa mdosi, alimwita akamuonesha ushahidi kwamba mdosi kamwibia akamwambia amrudishie alichomwibia, mdosi akajifanya mjanja, ikabidi ally atumie njia mbadala kupata chake, hapa mdosi kaongeza chumvi nyingi kwenye stori.

ally alipaswa kumshitaki mdosi na sio kuchukua sheria mkononi. kama ww ni mk w al kamwambie mmo.
 
Ingekuwa nchi nyingine saa hizi polizi wa Forensic wako busy huko shambani kutafuta miili ya hao watu wawili alio waua na kuwafukia Shambani kwake.
 
....Nina mashaka na jina halisi la huyu mfanyabiashara. Kwanza leo tulipata taarifa kuwa gazeti la JAMHURI nakala zake zote zimenunuliwa kisa zimeandika habari za mtoto wa kigogo, na hapa mtuhumiwa ametishiwa kuuliwa na kuzikwa kwenye shamba la mwajiri lililoko MSOGA???? Haya, kama hiyo haitoshi hii kampuni Lake Oil tunajua nani mmiliki wake na kwa kumalizia tukaambiwa mfanya biashara KIJANA BILIONEA.
Mimi najaribu kuunganisha hizo dots na matukio ili kupata picha halisi ya nani anazungumziwa. Inawezekana Pinda bila kujua anataka kupambana na bosi wake, maana hata mbwa wa bosi ni bosi tu.
Ila huyu mtuhumiwa ataitwa ikulu na kunyamazishwa kama ilivyo kwa matukio mengi yaliyotangulia.
Polisi wanajua kwa kina ndo maana kama umesoma mtiririko wa hii habari utaona kila mmoja anamwonea huruma mtuhumiwa ila kila anapojaribu kumsaidia anakutana na kizingiti kikubwa na hatimaye kumrushia hilo zigo mwingine. Maana kudili na issue za kubwa kuna gharama zake.
 
ally alipaswa kumshitaki mdosi na sio kuchukua sheria mkononi. kama ww ni mk w al kamwambie mmo.

Mkuu hata Mimi sikubaliani na alichokifanya ally, ila mdosi naye alijitakia tu, ally anajulikana ni mtoto wa mjini, mdosi kaambiwa kiroho safi rudisha ulichoiba tuyamalize akajifanya na yeye wa mjini, ndio hayo yamemkuta.
 
Wabongo wangapi wabnafanyiwa hivyo kila kukicha lakini hatusikii kitu. Hapo huyo mhindi kaonyeshwaa picha za maiti zingine lakini si polisi wala sisi hapa tunaodadisi je hizo maiti zingine ni za akina nani?
Hii ishu itazimwa kimya kimya tu kwenye circles zao za power, nyie wenzangu na mimi msipoteze mda wenu hapa these people are in different category!
Mhindi atapewa billions kadhaa na tenda kubwa serikalini atatulia na mahakamani haendi.
Keshokuta tutaendelea na kelele zetu za Lowasa, zito, lema, slaa, mbowe e.t.c. halafu sisi ndio eti great thinkers ujue!

huyo awadhi hizo ndo zake alishamfanyia tena mfanyakazi wake mwingine alikuwa anaishi magomeni mchezo huo huo,wakati nasoma hii story nilifikiri ndiyo story kumbe ni mpya.hao ndiyo financiar wa chaguzi ukienda kwenye maofisi yao utakuta appreciation certificates za kutosha.kaka yake ndo mwenye mikoani traders
 
Pole sana ndugu yangu. Kushinda kesi hii ni vigumu sana kwani uthamani wa mtu hapa unalingana na kiasi cha pesa alizo nazo. Mbele ya dola hili, thamani yako na ya Awadh nisawa na kulinganisha kichuguu na Mlima Kilimanjaro. Hata Mheshimiwa Pinda japo anajitahidi kwa huruma zake binafsi lakini dola lote lipo mfukoni kwa mafisadi wachache. Si polisi wala wakuu wanaweza kukupa haki. Mwombe Mungu wako tu, lakini jiandae kisaikolojia kukubali hayo matokeo!
 
Wote hawa ndugu wana roho mbaya sana wanapenda kunyanyasa watu sana sijui hii kiburi wametoa wapi kuna huyu ndugu yao wa mek wan anitwa mohaned eidha alishawahi kukamata always za mchaga mmoja anaishi arusha ashirikiana na police eti kwa sababu yeye alikuwa agent wa always.walimfils mchaga hawa ndygu wote kila mmoja ana kampuni yake ni... mikoani traders. Aidha awadh trasport. Mek one lake oil.
 
Nani alikuwa waziri wa mambo ya ndani wakati waziri mkuu anatoa maagizo?
 
Mlalamikaji ni Muhindi.
Poa tu..hawa jamaa acha wapigwe tu.
Wameivamia nchi yetu aisee...
 
Nasema ni Tanzania tu unaweza kukuta jambo hili linatendwa. Nyerere alikuwa mbele karne moja kwetu. Alijua tu, ukiwa pale Ikulu, ukafungua mlango wa biashara, baasi umewamaliza Watz.
Oneni wenyewe, kwa uhusiano na Riz 1, tayari huyu bilionea anawaua wanadamu kama tandala wa mikumi tu. Mtu unamvua nguo mwanaume mwenzako, unaamuru vichaa wam.. mbele zako??? Huwa najiuliza swali, unavyofurahi kuona mwenzako akisodomiwa mbele yako, weye unajisikiaje? Una hofu ya Mungu kweli??
Riz 1 kama unasomaga JF, tafadhali sana, jiepushe na hawa Waovu, wenye kujichukulia sheria mkononi. Watakuaibisha.
Sio weye Riz 1 unayatenda but when one of your comrades do it, it will tarnish your name. Ya nini urafiki wa kijinga? Nawe mh. Mtukufu Rais, unaruhusuje jina lako litajwe humo?
Nasema ni Tanzania tu hakuna pengine. Hizi elimu za kuchonga hizi, zinawafanya hata msionekane kama Ma Dr. wa Kweli.
 
....Nina mashaka na jina halisi la huyu mfanyabiashara. Kwanza leo tulipata taarifa kuwa gazeti la JAMHURI nakala zake zote zimenunuliwa kisa zimeandika habari za mtoto wa kigogo, na hapa mtuhumiwa ametishiwa kuuliwa na kuzikwa kwenye shamba la mwajiri lililoko MSOGA???? Haya, kama hiyo haitoshi hii kampuni Lake Oil tunajua nani mmiliki wake na kwa kumalizia tukaambiwa mfanya biashara KIJANA BILIONEA.
Mimi najaribu kuunganisha hizo dots na matukio ili kupata picha halisi ya nani anazungumziwa. Inawezekana Pinda bila kujua anataka kupambana na bosi wake, maana hata mbwa wa bosi ni bosi tu.
Ila huyu mtuhumiwa ataitwa ikulu na kunyamazishwa kama ilivyo kwa matukio mengi yaliyotangulia.
Polisi wanajua kwa kina ndo maana kama umesoma mtiririko wa hii habari utaona kila mmoja anamwonea huruma mtuhumiwa ila kila anapojaribu kumsaidia anakutana na kizingiti kikubwa na hatimaye kumrushia hilo zigo mwingine. Maana kudili na issue za kubwa kuna gharama zake.

Ndio maana Prince anahangaika kuunda mtandao kuhakikisha EL hasogelei Magogoni! Inasikitisha sana kwasababu heshima na hadhi ya Ikulu imeshuka sana kama enzi za za mzee Ruksa ambako Wahindi na Waarabu walitamba kama tunavyo ona sasa!
 
Tusilalamike sana jamani,kupanga ni kuchagua!Chama chenye Serikali tumekiweka wenyewe na hata uchaguzi ujao tutakiweka chama kitakachounda Serikali ijayo.Sasa yanayo tupata sasa nistahili yetu na hata yatakayo tupata baada ya serikali ijayo kuundwa ni stahili yetu pia! Umakini kwa kila jambo ni muhimu sana kwa maisha ya mwanadamu!
 
Huyu, mdosi namfahamu sana, kamwibia sana Ally, mdosi hapa anavungavunga tu, Ally aliposhtukia wizi wa mdosi, alimwita akamuonesha ushahidi kwamba mdosi kamwibia akamwambia amrudishie alichomwibia, mdosi akajifanya mjanja, ikabidi ally atumie njia mbadala kupata chake, hapa mdosi kaongeza chumvi nyingi kwenye stori.

Unatetea ujinga gani wewe ama ni mmoja wa wahusika?? Ukiibiwa ukakamata mwizi wako unaamuru alawitiwe na mabaunsa wako??! Kama alimwibia kwanini asipeleke mashitaka kwa vyombo husika?! Unataka tujenge taifa la aina gani kwa kutetea matendo machafu ktk jamii yetu? Nadhani ni tabia yako kulawitiwa ndio maana unaona sawa!
 
Yani haya mambo yapo nchi hii? how can you do that to your fellow being?
 
Huyu, mdosi namfahamu sana, kamwibia sana Ally, mdosi hapa anavungavunga tu, Ally aliposhtukia wizi wa mdosi, alimwita akamuonesha ushahidi kwamba mdosi kamwibia akamwambia amrudishie alichomwibia, mdosi akajifanya mjanja, ikabidi ally atumie njia mbadala kupata chake, hapa mdosi kaongeza chumvi nyingi kwenye stori.

We lazma mdosi pia tena jamaa wa huyo nyangau ally
 
Back
Top Bottom