Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,092
- 285,798
Yani haya mambo yapo nchi hii? how can you do that to your fellow being?
ndiyo maana tunakuambieni kila siku kwamba nchi inahitaji ukombozi .
Yani haya mambo yapo nchi hii? how can you do that to your fellow being?
waungwana wala msihofu , malipo ni hapahapa !
kama ni kweli,bac tupo pabaya sana,kwamba mtu anaweza jifanyi lolote awezalo,mungu asaidie haki itendeke,coz inaonekana kama wenye pesa wachacha wanashikilia maisha ya wanyonge wengi.
Sasa wamemfira ali amepata haki yake?Kwa hapa bongo, mtu akikuibia chako kama una nguvu ya kukirudisha ni bora utumie nguvu yako, ukipeleka kesi polisi utazungushwa tu.
Roho za kiarabu hizi! Mbaya sana kuliko hata za nyoka. Anataka kuigeuza Tanznia kama nchi za Middle East wanavyotesha wafanyakazi wao wa ndani!
Ingekuwa Mswahili ata Jamhuri wasingeandikaNajaribu kupata picha, kama hilo zengwe lingempata Mswahili mwenzetu mweusi ti, ingekuwaje? Kama Mhindi ametendwa hivyo, sijui ingekuwaje. Mungu tunusuru.
Huyu, mdosi namfahamu sana, kamwibia sana Ally, mdosi hapa anavungavunga tu, Ally aliposhtukia wizi wa mdosi, alimwita akamuonesha ushahidi kwamba mdosi kamwibia akamwambia amrudishie alichomwibia, mdosi akajifanya mjanja, ikabidi ally atumie njia mbadala kupata chake, hapa mdosi kaongeza chumvi nyingi kwenye stori.

Na huyo dogo HAKOSI SWALA! Ni swala tano kweli kweli. Hijja pia ameenda! Sasa ona ufedhuli alioufanya ustadh huyu!huyo awadhi hizo ndo zake alishamfanyia tena mfanyakazi wake mwingine alikuwa anaishi magomeni mchezo huo huo,wakati nasoma hii story nilifikiri ndiyo story kumbe ni mpya.hao ndiyo financiar wa chaguzi ukienda kwenye maofisi yao utakuta appreciation certificates za kutosha.kaka yake ndo mwenye mikoani traders
Ingekuwa Mswahili ata Jamhuri wasingeandika
Sasa wamemfira......