sunna
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 531
- 74
Hii kesi itazimwa kimya kimya na hili hazeti liyaomba radhi mda si mrsfu hii ndo tanzania yetu. Hawa jamaa hakuna kitu watafnywa kuna muhindi mwanza alifunngwa na fuad eidha hakimu lipelekwa na ndege kwenye mpaka mwanza siku hiyo hiyo jamaa alifungwa. Ogopa hawa jamaa nchii waniongoza wao. Sijui haki za binaadam wako nao pia?labda mlalamikaji awe na yusuph manji ndo ataweza.lakin hata rais wa nchi hataweza