Jamhuri: Pinda agongana na bilionea Dar!

Jamhuri: Pinda agongana na bilionea Dar!

Naomba kwa hisani zenu mnaopenda kujadili mjadili kwa ukweli na si kwa chuki kosa la mmoja mka hukumu wote.c haki.c adabu.c uungwana.ally au mwengine anafanya kwa utashi wake.na kwa kutomuogopa aliemuumba.na me naamini kajisahau kuwa kuna kufa.
 
Aje wakati wa Bunge Bungeni tumsaidie dunia ifahamu hakuna aliye juu ya sheria

Yule demu wa Kapuya mbona alikuja na akaonana na Spika, ambaye ni mwanamke mwenzake lakini mtuhumiwa bado ni Mheshimiwa?
 
Mwajiri katili tena mbaya.ipo hukumu ya muibaji na muibiwaji.c kuchukua hukumu kama hii.na sasa waliokuwa wapungufu Wa mawazo na fikra finyu.wanatafsiri kuwa eti hiyo ni kawaida ya waarabu.hiyo ni ratiba yake ally.na c wote.maana ya kuwa na police na mahkama ni kuwepo haki.c unyama.
 
Tena liwat mungu hapendi.hataki.na ameharamisha.hilo katika vitabu vyote.wapi kapata hukumu ya liwatt hata zama za ujahili halikuwapo.
 
Sahim...inainyesha umekubali.na umeridhika muhasibu kufanyiwA liwatt.je hukumu hiyo imetoka katika kitabu gani.sheria ya nchi gani? Haki ni haki.kiislam kisasi no haki ..lakini pua kwa pua.na ukisamehe ni aula zaidi.mwisho.napenda kukumbusha kwamba riba huondosha haya.na imani ya mungu inakuwa ndogo
 
Shark Naona ---- kwenye comments zako hasa unapotaja Mali za victim. Unadhani ukiwa mwajiliwa huna khaki ya kuwa na assets?!. Kwani hukopesheki??

Kaka,
Assets unamiliki, but zikiwa nyingi nazo ni questionable. Kukopesheka means una assets nyingi lakini pia una liabilities nyingi vilevile.

Kama una assets tu halafu liabilities hakuna na equities ni chache pia ni questionable!!
 
Hawa ni watu wa karibu wa huyu mswahilina wetu wa magogoni bwana, kukamatwa hamna wa kuwakamata. Huyu jamaa, huyo mwizi wa UDA na yule wa home shopping.....

rzmoko ana hisa nyingi sana lake oil....
 
Yapo na mengine mengi ila wanaofanyiwa wamekaa kimya. Na hii ni kuwa kampuni nyingi kubwa zina dead policy wanaajira watu wa nje na kuwaacha watanganyika. Matokeo yake ndio hiyo mtu nakaa na dola laki na ushee mfukoni kwani anaweza sepa muda wowote. jambo mpoooo
 
Sahim...inainyesha umekubali.na umeridhika muhasibu kufanyiwA liwatt.je hukumu hiyo imetoka katika kitabu gani.sheria ya nchi gani? Haki ni haki.kiislam kisasi no haki ..lakini pua kwa pua.na ukisamehe ni aula zaidi.mwisho.napenda kukumbusha kwamba riba huondosha haya.na imani ya mungu inakuwa ndogo
JE Kitabu gani kime mruhusu Muhasibu kumuibia Muajiri wake kama kitabu au sheria inamyima Muajiri kufanya hayo anayo shutumiwa na pia kitabu na sheria inamkataza Muhasibu kuiba. Ningekufaham zaidi kama ungelaani Muhasibu kuiba na Muajiri kumuadhibu Muhasibu. Lakini unaonekana umeona kosa la Muajiri tu la Muhasibu hukuliona. Na kubaliana na ww kwa mla na mtoa riba kukosa haya na imani hilo sina pingamizi nalo
 
Nimeperuzi topic nyingi mpaka wengine wamechanganya na dini.eti ndo uislam unataka kufirana.uongo uzandik.chuki.hasada.na kejeli kwa dini ya kiislam.marekani imeruhusu watu Wa jinsia moja.na uingereza pia na nyengine nyingi.je hao ni waislam.

Tena makanisa na wachungji wanabariki ndoa za mashoga waume kwa waume wake kwa wake na hata mbwa kwa binaadam ...
 
wao wenyewe mbona wez wa rasilimal za taifa wakiibiwa wao wanachukua sheria mkonon coz wanajua serikal dhaifu
 
pinda hiyo yote nguvu ya soda muhindi imekula kwake labda asaidiwe na wahindi wezake coz hata watu weus tuna kesi kama hzo nyingi tu polis hazifanyiwi kaz,kawaulize wananch wa mbarali wanavyopata taabu kama wahamiaj kwenye ardh za mama zao
 
Tutakukumbuka Nyerere maana hakuna mtu aliyedhubutu kuyafanya haya kwenye utawala wako
 
siyo makampuni ya kihindi tu yanayonyanyasa wafanyakazi bali hata ya kiswahili. ukitaka kufahamu namna wafanyakazi wanavyotendewa kama watumwa, nenda kwenye kampuni ya uegeshaji magari (nps) inayomilikiwa na kingunge uone wafanyakazi wanavyonyanyaswa kama watumwa--mshahara tsh 80,000 kwa mwezi na hakuna kuumwa--ukiumwa leo ukija kazini kesho unakuta kibarua kimeota majani--yaani ni utumwa mamboleo kabisa.

na huyu pinda huu mfupa hauwezi hata kidogo. anachojua yeye ni kulia bungeni na kuhamasisha watu wasiokuwa na hatia wapigwe tu. there is no twit like pinda in tz.
 
NOW! THIS IS MORE THAN SCARY. Tunakazi kubwa sana mpaka kuhakikisha Serikali yetu inakuwa juuya hawa Washenzi wanaojiita wafanya biashara
 
Umefika wakati wa kila mtu kujilinda mwenyewwe na ikiwezekana hata marafiki kwa marafiki kulindana au mkabila na mkabila ndio maana waYEMEN kila mtu anatembea na SMG mgongoni
640x392_65102_256388.jpg
 
"In Yemen, no matter if you're rich or poor(JIULIZE KWA NINI ?), you must (JIULIZE KWA NINI)have guns. Even if it's just one piece," insists Abdul Wahab al-Ammari, a tribal sheikh from Yemen's Ibb province who resides in Sana'a, citing self-protection as the primary driver of gun ownership. "I have maybe 14 high powered weapons, and 3 handguns [at home]." Uharamia wa serikali yao ndio uliowafanya wafikie hapo ,wanabambikiziwa makesi,wakuu ni wanyanyasaji ,maonevu kama ya huyo aliefanyiwa yalijaa lakini sasa kila mtu na adabu na Tanzania kunahitajika watu kutumia Uyemen kujilinda na kuondokana na maovu kwani ni aheri ya kufa kuliko kufanyiwa unyama,huyo mhindi sijui kwa nini bado anatamani kuendelea kuishi ,ni kureload pistol yake na kumshukia au kuwashukia jamaa na hakuna kuuliza.

Americans, spurred by the tragic shootings in Newton, Aurora, and elsewhere, clearly aren't alone in their need to discuss gun control. Yemen, the second most heavily-armed country in the world per capita after the U.S., has a completely unique set of challenges as it wrestles with the question of what, if anything, can be done to address the demand of average citizens to bear arms
 
Yemen%20Guns%20Banner.jpg
a weapons store in a market in Arhab, north of Sanaa July 15, 2012 ,Hivi kuna pahala hapa Tz lipo duka kama hili ????
 
Ilikuwa yule wa HSC, leo Lake Oil, huu utamaduni wa kiarabu...
 
Back
Top Bottom