Jamhuri: Pinda agongana na bilionea Dar!

Jamhuri: Pinda agongana na bilionea Dar!

Mihemuko unayo ww unaemtetea mwizi bila kuiba yange mkuta hayo yalio mkuta? Like kuna wafanyakazi zaidi ya 100 mbona hawakupekekwa godaun usitetee wezi 16b ninyingi sana hakufanya wizi wa kawaida ni wizi wakutisha mpaka anajiamini kuweka $100000.cash ndini kwake hii kitu kibaya sana ashukuru sana hakuuliwa. Laiti ingekuwa yuko moshi au Arusha huyu mdosi tusingekuwa nae tena hapa duniani.

You know what? I think I aint your match dude!!
 
Najaribu kupata picha, kama hilo zengwe lingempata Mswahili mwenzetu mweusi ti, ingekuwaje? Kama Mhindi ametendwa hivyo, sijui ingekuwaje. Mungu tunusuru.
Tena inaonekana Mhindi katendwa na Mhindi mwenzie!!! Hapa sasa naamini Yale niyasikiayo siku nyingi kuwa wahindi wanawafanya vibaya sana wadada na wakaka zetu wanaofanya kazi kwao.
 
naona hujui unachokiongelea,you're just blending things up,sikatai kama huyo mwarabu wako hajaibiwa,issue ni kwamba njia alizotumia kudai chake ni za udhalilishaji na kinyume na ubinaadamu,hembu muulize yeye haibi?tena ii hope anatuibia sisi watanzania wengi tu kwa kudanganya kwenye kodi,ambayo u never know angeilipa inavyostahili mamayangu kule kijijini asingehangaika na dawa au maji,rudi umwabie .....powerful man with true ethics will always struggle to hide his true powers,naona hii imekuwa ni trend hapa kwetu kila mwenye vijisenti akiibiwa basi njia ndio hiyo,mwambie abadilike,mbona wauza mafuta wengine kama yeye mfano OILCOM hatuwasikii,inamaana na wao hawaibiwi?
Naombeni ujumbe huu umfikie huyo sahim1
 
Huyu sami1 mda mrefu nilikuwa nafuatilia ropic zake. Inaelekea huyu mwaarabu ni jamii ya hawa watoto wa mbwa ambalo ndo kabila lao kuna eidha ya kiarabu wanaitwa bin kleib. Yaani watoto wa mbwa. Nasema huyu sahim amelewa mali ya urirhi wababa yake ndo maana anatapika mavi
 
Naombeni ujumbe huu umfikie huyo sahim1

Ujumbe nimeupata lakini ufaham kama hili la kumtesa au kumdhalilisha sio geni kwangu kulisikia au kuliona ktk umri nilio nao ktk ardhi ya tz nimeona mengi zaidi ya hili lililo mkuta muhasibu mwizi. Angalau yeye anatuhumiwa kumuibia muajiri wake 16b na yupo hai wapo walioiba 500 tu wameuwawa.nawako walio ibiwa na kuwawa kabisa. Afadhali ya yeye amshukuru mungu ameiba mabilion na hayakupatikana yote sidhani kama huyo Ali amepata hata 1b kwa vitu vyote alivyo chukuwa bado huyo Muhasibu nae ni bilionea tu.
 
Huyu sami1 mda mrefu nilikuwa nafuatilia ropic zake. Inaelekea huyu mwaarabu ni jamii ya hawa watoto wa mbwa ambalo ndo kabila lao kuna eidha ya kiarabu wanaitwa bin kleib. Yaani watoto wa mbwa. Nasema huyu sahim amelewa mali ya urirhi wababa yake ndo maana anatapika mavi

Ww umeamua kutukana watu na makabila yao na ni watu wasio husika na kadhia hii.na hawana uhusiano na mtuhumiwa yeyete na unawatukana hata Yanga kwani wanae kiongozi anae itwa Binklebu. Sidhani kama hiyo tafsiri yako iko sahihi kama unvyo itafsiri kwa kuwa mm sio muarabu na sijui kuongea kiarabu. Lakini sidhani kama Yanga wanaongozwa na mtt wa Mbwa kama unavyo dai ww. Na hujakosea kuona mm naharisha katika coments zangu kwa kuwa ww uwelewa wako ni uharo kuliko huo uharo nino harisha mm. Na ukumbuke tumeubwa tofauti na ndio hapo panapo patikana mitazamo tofauti. Sikulazimishi kutomuona Ali ni katili na mshenzi na kumuona Muhasibu amefanya la maana kumuibia muajiri wake 16b unao uwezo wakumpongeza na kumuona amefanya kazi yake ya uhasibu vizuri na kwa mafanikio. Na kumuona muajiri ni katili asie faa kuwepo ktk mgongo wa dunia hii. Kila mtu ano mitazamo yake na mismamo yake . Mm naamini kama huyo Muhasibu asingemuibia muajiri wake hayo yasinge mkuta.
 
Muulize bosi wake hizo maiti alizomuonyesha mwizi wake amezifukia wapi?
 
Ujumbe nimeupata lakini ufaham kama hili la kumtesa au kumdhalilisha sio geni kwangu kulisikia au kuliona ktk umri nilio nao ktk ardhi ya tz nimeona mengi zaidi ya hili lililo mkuta muhasibu mwizi. Angalau yeye anatuhumiwa kumuibia muajiri wake 16b na yupo hai wapo walioiba 500 tu wameuwawa.nawako walio ibiwa na kuwawa kabisa. Afadhali ya yeye amshukuru mungu ameiba mabilion na hayakupatikana yote sidhani kama huyo Ali amepata hata 1b kwa vitu vyote alivyo chukuwa bado huyo Muhasibu nae ni bilionea tu.
Shameeeeeeeeeeeeee!!! unatetea huu unyama!!!!!!???????. Hata angekuwa nani? Dini? Rangi? Kabila? mstaarabu yeyote haruhusiwi kutetea mtu kuteswa na kulawitiwa!!
Watesaji wakamatwe haraka ama sivyo kipindi chaja wakati tukisikia mambo haya tutamtendea ya MABINA!!
 
Mzee mabina aliuwawa kwahiyo na ww unanata kuuwa sasa unasema ww hutetei unyama je kuuwa sio unyama? Na kutete unyama au muhakufu sio kosa kisheria mbona Mawakili wanatetea wanatetea wahalifu kila aina vipi mm unione waajabu? Huu ni msimamo wangu ninao haki ya haya ninayo yaamini
 
Aje wakati wa Bunge Bungeni tumsaidie dunia ifahamu hakuna aliye juu ya sheria
 
Teknolojia..Mimi naamini we hata shule ulikuwa sio.we umeona utumwa ni waarabu tu wazungu kwa sababu ni mabwana zako ndo umenyamaza.angalia picha ya kunta kunte walivyofanya west africa.alichofanya bepari Wa lake oil ni utashi wake.binafsi
 
Malimbukeni Wa uzungu na mazuzu Wa uzungu huchanganya saana mambo.alichofanya ally vipi kihusishwe na waarabu wote.mbona aliewatetea wazungu waliomfirisha mtanzania kwa mbwa wao wakili aliwatetea wazungu.au umesahau.ally hata waarabu wenzake kawafanyia unyama huo.usiwe ---- ukahukumu wote kwa kosa la huyo asiemjua mungu.ni ufinyu Wa akili.na ulimbukeni.Wa kijinga.je wazungu hawakufanya utumwa
?na hao wazungu wako mpaka Leo wanapigania sodoma ni haki ya binaadamu je biblia imeruhisu?je dini gani ilioruhusu ni utumwa mambo leo
 
Kama karani kaiba kama ally kaibiwa IPO sheria inapaswa kuchukuliwa.name kama police hawakufanya uadilifu ni uzembe watu wawajibishwe.c kosa la ally wahukumiwe waarabu wote.na kama kosa la muhasibu basi wasihukumiwe wote.la kukumbuka .mshahara Wa muhasibu ni 6m
 
Nimeperuzi topic nyingi mpaka wengine wamechanganya na dini.eti ndo uislam unataka kufirana.uongo uzandik.chuki.hasada.na kejeli kwa dini ya kiislam.marekani imeruhusu watu Wa jinsia moja.na uingereza pia na nyengine nyingi.je hao ni waislam.
 
Back
Top Bottom