Amina na iwe kwa sote mimiSawa maalim Ngekewa Allah akupe yenye kheir leo na kesho akhera maana dunia ndio kama unavyoisoma hapa!!!!
Inna lillah...
Amina na iwe kwa sote mimiSawa maalim Ngekewa Allah akupe yenye kheir leo na kesho akhera maana dunia ndio kama unavyoisoma hapa!!!!
Inna lillah...
Tumekusamehe.Kuna mambo mengine ukisoma unadhani ni mchezo wa kuigiza. Yaani watu mko kwenye furaha na familia zenu lakini kuna wengine wako kwenye mateso makubwa! Waarabu katika hali ya kawaida ni wakatili sana. Samahani kama kuna mwarabu hapa na atakwazika, lakini huu ndio ukweli! Tunaona watu matajiri huku mtaani kumbe dhulmati wakubwa! Inawezekana huyu Ally Edha ndio tabia yake! Na hizo maiti zilizotupwa shambani kwake ni za kina nani?
Hope haki itatendeka arudishiwe mali zake.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
DVD la kulawiti kama zile za LEMA zipo?
DVD la kulawiti kama zile za LEMA zipo?
Asubiri haki itatendeka 2016 waarabu watakapokuwa chini ya sheria.
Hata kwenye mambo ya maana wewe unaleta ungese au huyo ALLY ni basha wako
mtumishi naa dola laki moja
nyumba nairobi
heeeeeeeeeeeee na mie naomba kazi hapa lake oil
Sasa hii Pinda alitoa tamko toka mwaka jana.
Je, Ally ameshakamatwa?????
Gazeti la Jamuhuri, tupatieni Feedback please
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Ni mwizi alimuibia nani? kwa ushahidi upi? GODOWN ndo mahakamani siku hizi? Mbona unaandika kama hujitambui? Concentrate kijana, itakusaidia hata katika maisha yako ya kila siku, mahakama pekee ndo iaweza kuthibitisha kama ni mwizi au laah, narudia tena, sahim1 acha kutoa maoni kutokana na mihemko ulo nayo, tafadhali tuliza akili yako ndo ukomenti hapa. ASANTE