Jamhuri: Pinda agongana na bilionea Dar!

Jamhuri: Pinda agongana na bilionea Dar!

hivi uislamu unaruhusu bilionea mwisilamu alawiti ,waislamu wenzake wanashangilia na anafadhili misikitini yeye na swahiba wake badae wanaenda kula 0713 za mwanaume mwenzao it shame

Wacha unafiki wewe,
Ulimshuhudia akila hiyo 0713...???
Wewe ndie uliemshikia mguu? ?
 
Kwa nini muislamu alawiti anafundisha nini jamii ya kislamu ,anafundisha watoto wetu bilionea kulawiti ni ruksa,je angekuwa mwanao kalawitiwa ungefurahi kwa kuwa kalawitiwa na bilionea ,usiwe mahamuma ,uislamu ni usafi wa kila kitu kuanzia unavyoishi ,sio kupeleka maubwabwa misikitini ramadhani ,leo unalawiti

Hukumu kosa la mtu usihuku dini wala kabila wala rangi au jinsia ya mtuhumiwa au mkosaji. Hilo kosa analotuhumiwa huyo Ali ni lake binafsi sio la waislsm wote wala uislam wenyewe.
Vatican kuna kashfa ya viongozi wa kanisa wakiwemo Mapadri kulawit wtt wadogo .unataka kuniambia biblia na ukiristo wote unahusika na ujunga huo? Mm siamini hivyo naamini huo ni ushenzi wa mtu binafsi sio dini yake biblia hairuhusu ujinga huo halkadhaalika quran uislam hsurusu. Usiwe mtu wakuchonganisha watu na kupandikiza chuki za kijinga. Huyo ali kama kafanya hivyo kafsnya kwa utashi wake au jazba ilimpanda maana huyo muhasibu ameiba pesa nyingi 16b zinatisha hata kama zingeibiwa benk kuu lazima pangetokea mtikisiko kama ule wa Epa.
 
dah! nilikuwa nakula mpaka nmeshba, kama ni kwel pole xana mtoto wa w2,ila fatilia huku ukimwomba mungu atakuwa nawe!
 
hapa lazima haki itendeke,na si tu itendeke bali ionekane haki iketendeka,JK aliwasamehe wezi wa EPA,na akavunja katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
may be ndio muendelezo maana uwezi fanya mambo kama haya kwenye nchi ambayo inautawala wa sheria

Haki haiwezi kutendeka mbele ya watumwa, kama rais dhaifu ni mtumwa unategemea nini? Wakwere wengi walichukuliwa utumwa, wasliobaki ndio hawa walikuwa dhoofu .... ... it just sums everything this president has done.
 
Haki haiwezi kutendeka mbele ya watumwa, kama rais dhaifu ni mtumwa unategemea nini? Wakwere wengi walichukuliwa utumwa, wasliobaki ndio hawa walikuwa dhoofu .... ... it just sums everything this president has done.

Hili ni tusi sio tu kwa Mh Rais bali kwetu sisi wa Tz wote na hasa familia yake na zaidi kwa kabila lake mm sioni kama uko sahihi kuandika haya ulipaswa kubakia nayo moyoni mwako tu. Mm simuoni Mh Rais hizo unavyo muona ww mm namuona ni mtu mwenye busara na mstahamilivu sana na ndio maana ww ukathubutu kumuandika hivyo. Laiti angekuwa na tabia kama yako leo hii ww usingekuwa tena na hiyo mikono unayo mkashifia.
 
Quran anayoiheshimu kila muislamu itakaaje ndani ya gari la mlawiti ,pili aliingia nayo mahakamani anatufundisha nini tukishabaka tubebe kitabu kitakatifu na tasibini mkononi na jioni lila siku yupo msikitini ,je ndo anapmba abarikiwe au mtu mnafiki hatufai waislamu pesa anazotumia kuhonga si misikiti minne gharama yake ,katufanya pumbuani na mazulia aliyotununulia msikitini kwetu ,pili msikiti wa kwa mtoro ndio maswahiba wake wako wengi je maustadhi na mashekhe wa kwa mtoro mnawafuga wabakaji na walawiti
 
Mlalamikaji anayedaiwa kupigwa na mabaunsa wa mfanyabiashara bilionea Ally Awadh (Lake Oil)


Kwa mujibu wa mlalamikaji, mali zilizochukuliwa ni:

A: Nyumba yangu na mke wangu iliyopo Nairobi, Kenya
B: Gari zangu mbili (i) Toyota IST T786 BZG (ii) Toyota Fortuner T503 BQC
C: Bastola yangu 6mm niliyonunua Mzinga.
D: Fedha taslimu dola 100,000 (Sh zaidi ya milioni 160)
E: Mkataba wangu wa nyumba na duka (vyangu) vilivyoko Uhuru Heights
F: Ofa zangu tatu za viwanja Kigamboni

Asainishwa kwa nguvu


“Alizijua hizo fedha kwa sababu ni akaunti niliyoitumia kuweka pesa za mshahara. Mshahara wangu ulikuwa Sh. milioni 6 kwa mwezi. Kama hilo halikutosha, alikuta chumbani kwangu vitabu vitatu vya hundi za akaunti ya pamoja na mke wangu; Standard Chartered (Nairobi, 2), Benki ya Exim (3), Benki ya NBC, akatulazimisha tuzitie sahihi zetu- na tukafanya hivyo.”

Mlalamikaji, mkewe waonywa watauawa

MAONI YANGU

Nimejaribu kutafakari hii kesi na kufikiria outside the box na nimegundua tanzanania tunashabikia sana kila kitu tunaweka siasa ifike wakati sasa police wawe wanahoji uhalali wa huyo mlalamikaji wa kuwa na hizo pesa kwa kuangalia chanzo chake.

1. Inawezekana vip kwa mshahara wako wa mil6 ukaweza kumiliki mali zote hizo? Je anachanzo kingine cha maana ambacho kinaridhisha kimapato kuweza kumsupport kua na hizo pesa?

2. Kuna sababu gani ya maana iliyomfanya akae na kiasi kikubwa cha pesa ndani? Je kuna ukweli wowote kwa hilo?

Yangu ni hayo tu tuiachie mahakama kufanya kazi yake.
 
ist iliyochukuliwa wamepatiwa CHADEMA mbona hilo halijadiliwi eti wananasema wameikodi ,basi warudishe kama wameshayasikia hayo na Mr arfi alipinga unyanyasaji huu huko mpanda wakamwona kero wakafukuza wadhifa wake je hili alilolisimamia bwana arfu lilimkera bilionea akawaeleza wachague warudishe gari alilowapa ambalo alimnyang'anya aliyeyemlawiti au wamuondoe Mr arfu ,chadema wakaona wakumbatie kazawadi ka toyota IST na wamtimue Mr Arfu
 
Kama CDM yupo humu aeleze mikufu aliyonyang'anywa aliyelawitiwa anayo nani ambaye ni mbung alipewa kama hongo ya siku yak ya kuzaliwa
 
Hakika kila mfalme ana mipaka yake, na mipaka ya Allaah سبحانه وتعالى ni makatazo Yake. Na hakika katika kiwiliwili kuna kipande cha nyama kikitangamaa, kiwiliwili chote kitakua kizima, kikharibika kiwiliwili chote huharibika. Basi jua (kipande hicho cha nyama) ni moyo.
 
Waislamu tumwombe mola ajibu mapigo kwani tayari lakw oil kaharibu kipande cha nyama cha mwenzetu na CHADEMA wanashangilia kurithi mali ya mwathirika
 
Hili ni tusi sio tu kwa Mh Rais bali kwetu sisi wa Tz wote na hasa familia yake na zaidi kwa kabila lake mm sioni kama uko sahihi kuandika haya ulipaswa kubakia nayo moyoni mwako tu. Mm simuoni Mh Rais hizo unavyo muona ww mm namuona ni mtu mwenye busara na mstahamilivu sana na ndio maana ww ukathubutu kumuandika hivyo. Laiti angekuwa na tabia kama yako leo hii ww usingekuwa tena na hiyo mikono unayo mkashifia.

Msitamilivyo wa kuona uovu unatendeka bila kuchukua hatua !? Epa ,ufisadi ,unga .tembo.anastahimili tuu ?
 
Yericko waislamu wanafumbia macho kwa kuwa wanasaidiwa inasikitisha
CHADEMA nao wanapewa kagari ka mshikaji kweli njaa huondoa haki
 
Wakikurudishia bastola yako fanya kweli bila kupepesa kijana.
 
Kamanda wa Kanda maalum ndugu Kova amekaa kimya kama hajasikia yeye ni kuokoteza Bendera za CDM na kuzionyesha kila siku huku watu wakatili kama hawa akiwaacha
kova anasubiri atuletee watuhumiwa wa uongo kama yule mkenya alodai amemshambulia ulimboka mmmh nchi hiii moro para na sheshe uyeee.
 
Msitamilivyo wa kuona uovu unatendeka bila kuchukua hatua !? Epa ,ufisadi ,unga .tembo.anastahimili tuu ?

Hizi naweza kusema ni chuki tu. au changamoto zinazo likabili taifa na hata zisingekuwepo hizi zingekuwepo zingine hakuna Taifa duniani lisilo na changamoto zake.huko USA tunako tolea mfano kuna wauza unga wauza silaha haram wauza Pesa Bandia wauwaji ukosefu wa Ajira nk.Huwezi kuongoza nchi bila changamoto ndio maana kuna vyama vingi vya siasa ili kuleta ushindani wa kuongoza nchi.
 
Hii issue haina tofauti na ya yule said wa homeshoping centre maaana hawa wote ni marafiki wa mkubwa wetu yule na ndo anae mlinda dhidi ya maovu yake ila ipo siku mwenyezi Mungu atawaonyesha uwezo wake hapa hapa duniani. ... tuzudi kumuomba Mwenyezi Mungu.
 
Back
Top Bottom