Jamhuri: Pinda agongana na bilionea Dar!

Ni open forum so huwezi weka premise za majambazi kujustify conclusion ya mtu mwenye hayo yote niliyokuuliza! !!!!!

Na kwa kweli nilijua huna majibu ila nilitaka upate tofauti ya hizo "scenario"tatu ili ukiandika tena uweze kujua kwanza mjadala ni wa jukwaa zima na hivyo yoyote asomaye pia anaweza kuchangia; pili ninyohoji na kujibu sio tu suala la kuyajua "ni suala la logic" achilia mbali sheria na ubinadamu!!!!!

Kudandia gari kwa mbele sio hatari tena wakati kuna mtu anaongelewa anayedai kulawitiwa!!!!!!!
Uliposema huogopi kufa nilidhani pia huogopi kudandia gari kwa mbele!!!!!!

Nadhani unataka kuhalalisha hoja zako kwa kutumia nguvu ingawa huna ushahidi wa huyo mtu kulawitiwa. Na hata nikiamini kama kalawitiwa kwangu mm sioni kama ni adhabu tosha ukilinganisha na kiasi alichoiba. Ukizingatia mshahara alio kuwa analipwa na huduma nyingi nzuri alizo kuwa anapewa na mwajiri wake. Hii tabia ya kutetea wezi ndio imeifikisha nchi hapa tulipo. Mfano tu gari ya serikali inatoka hapa dar kwenda mwza inatumia dasel lts 200 lakini gari hiyoyo vx cc 420 ya mtu binafsi inatumia lts 150 . Kwa haraka haraka hapo dereva ameshaiba lts 50 na kurudi 59 lts jumla 100 lts sawa na tsh 200000. Huyo ni deteva 1 kwa trip 1 je kuna madereva wangapi na trip ngapi ktk safari za kiserikali bado bosi hapo hajaiba. Tusiwe wepesi kuangalia upande 1 wa shingi tumuangalie nahuyu alie ibiwa 16b tusimuhesabu kwa kuwa nitajiri tu huo unatijiri wake kuna madeni kila kona mabenk yanataka kulipwa mikopo iliyochukuliwa sio pesa zake hizo ni pesa za watu yeye ni dhamana tu wa kuzisimamia. Halafu uruhusu mjinga 1 achukuwe 16b vipi utamudu biashara? Siku ya yasiku utasikia minada lake oil petrol station ya malapa buguri inaizwa kwa mnada CRDB wanadai chanzo mmliki kadhindwa kulipa deni kwanini ?Wafanyakazi wanaiba sana hata mm sikubali hilo ningelawit familia nzima mpaka majirani zake ningewachafua.ukhanisi hu mtu unampa kila kitu halafu anakuulia bishara yako kwa kukuibia mabilioni ya pesa.
 
Ww ni mbaguzi tena sio warangi tuu hata dini na hata madhehebu ww ni mbaguzi tena kaburu mkubwa ndio maana umekimbilia kujihami kwanza ili upate saport kwa wajinga wenzako.Ali sio muhindi kama unavyo taka tuamini. Na hata hivyo haya ambayo tunaelezwa Ali kayafanya je hakuna Mtz mwengine aliyoyo yafanya au zaidi ya haya ivi hujawahi kuona au kusikia wtz wakifanyiwa unyama mkubwa tena bila sababu mpaka kifo kuwafikia? Juzi tuu pale Nzega Madereva wa malori walivyo fanyiwa unyama mpaka kufikia kuwatoboa macho na kifo kikawakuta? Au kunya munye nyie tu akinya bata kaharisha? Acha ujinga wa ubaguzi muhukumu mtu kwa kosa lake usimuhukumu kwa rangi, dini, jinsia au kabila lake. Humu ndani kuna post muuza nguruwe amemuuwa mteja wake Rukwa huko kwa kuwa anamdai tsh 500 tu. Nae ni rangi nyeupe?

Tatizo ni wewe kuhama kwenye mada kuu kabisa na kulazimisha kuwa tujadili hii sasa. Well, umejitahidi kuandika,lakini umeandika kwa mihemko mikubwa sana, kama vile una mahaba au maslahi binafsi kwa aliyefanya kitendo hiki cha kinyama.....Sintobadili mada na kuanza kukujadili wewe. Mada iendelee kujadiliwa sahim1
 
Huu unyama usio na sheria unauma sana. Ila iko siku moja hizo fedha na kiburi zitakuwa karatasi, pale masikini wa nchi watakaposema mateso sasa basi. Ukimtesa sana binadamu itafika wakati atakubali kufa kishujaa hapo ndipo watawala na wezi wa kodi watajua hakuna aliyesalama.

Huu unyama cant go silence. Wapo wengi sana wanaoteswa hivyo, Kapuya, and the like.
 
Nadhani unataka kuhalalisha hoja zako kwa kutumia nguvu ingawa huna ushahidi wa huyo mtu kulawitiwa. Na hata nikiamini kama kalawitiwa kwangu mm sioni kama ni adhabu tosha ukilinganisha na kiasi alichoiba. Ukizingatia mshahara alio kuwa analipwa na huduma nyingi nzuri alizo kuwa anapewa na mwajiri wake. Hii tabia ya kutetea wezi ndio imeifikisha nchi hapa tulipo. Mfano tu gari ya serikali inatoka hapa dar kwenda mwza inatumia dasel lts 200 lakini gari hiyoyo vx cc 420 ya mtu binafsi inatumia lts 150 . Kwa haraka haraka hapo dereva ameshaiba lts 50 na kurudi 59 lts jumla 100 lts sawa na tsh 200000. Huyo ni deteva 1 kwa trip 1 je kuna madereva wangapi na trip ngapi ktk safari za kiserikali bado bosi hapo hajaiba. Tusiwe wepesi kuangalia upande 1 wa shingi tumuangalie nahuyu alie ibiwa 16b tusimuhesabu kwa kuwa nitajiri tu huo unatijiri wake kuna madeni kila kona mabenk yanataka kulipwa mikopo iliyochukuliwa sio pesa zake hizo ni pesa za watu yeye ni dhamana tu wa kuzisimamia. Halafu uruhusu mjinga 1 achukuwe 16b vipi utamudu biashara? Siku ya yasiku utasikia minada lake oil petrol station ya malapa buguri inaizwa kwa mnada CRDB wanadai chanzo mmliki kadhindwa kulipa deni kwanini ?Wafanyakazi wanaiba sana hata mm sikubali hilo ningelawit familia nzima mpaka majirani zake ningewachafua.ukhanisi hu mtu unampa kila kitu halafu anakuulia bishara yako kwa kukuibia mabilioni ya pesa.

Kama hakuna ushahidi wa kulawitiwa pia hakuna ushahidi wa kuibiwa 16b
Hio nayo ni defence tu baada ya kuona unyama huu upo nje .
Hivi wizi wa bilion 16 cash ! Unawezekana ? Hao lake oil wana magari mangapi? Sales zao ni shs ngapi kwa siku ? Mtaji wao ni kiasi gani?
Hata huko EPA watu hawakuiba fedha kama hizo.
Kwanini huyo Ali mshenzi asijitokeze mwanzo kumtoa kwenye gazeti kuwa ameibiwa na huyu jamaa? Mnakuja ku defend baada ya jamaa kulalamika?
Hivi TRA hamuendi huko lake oil kupata kodi maana cash billion 16 zimeibwa na mtu mmoja tu ina maana hii company inatengeneza Matrillion. Kwa nini mnajihangaisha na machinga kariakoo na EFD
 
Swadaktaaaa... ila leo hii, serikali imewekwa mfukoni na kukaangwa kabisa, halafu wenyewe utawasikia hatujakutana barabarani..... Na mbaya zaidi hata hawajui kwa nini nchi ni masikini.....

Na huyu jamaa Ali Edha sio raia . Ame fake documents kwao ni yemen na ana passpot 2
 
Kwamujibu wa maelezo ya mlalamikaji, inaonyesha kadhalilishwa na pia kutotendewahaki. Ila haya ni maelezo ya upandemmoja tu.
Najiuliza,kumbe uhasibu sio mchezo bwana!, Huyukijana ameajiriwa 2010 kama Finance Manager wa kampuni hiyo. Hadi May 2, 2013ameweza kumiliki vyote hivi:
A: Nyumbailiyopo Nairobi, Kenya.
B: Gari mbili (i) Toyota IST T786 BZG (ii) Toyota Fortuner T503 BQC.
C: Bastola.
D: Fedha taslimu dola 100,000 (Sh zaidi ya milioni 160)
E: nyumba ya kupangisha na biashara ya duka huko Uhuru Heights.
F: viwanja Ofa vitatu huko Kigamboni.

Hayayamewezekana takribani ndani ya two years, Kweli BONGO maisha PLUS!!. LanguJICHO.

Hii inwezekana ukifanya kazi kwenye hizi kampuni ambazo zinaendeshwa kimafia na wizi.Kazi moja ya mhasibu mi kuhakikisha kodi hazipwi sawa sawa. Hivyo yeye anapewa jukumu la kuandaa mahesabu magumu na kumalizana na TRA .
Hivo mhasibu nae anapata faida zake katika rushwa hizi
Kama kuna kodi kwa mwezi ya million 400 basi zinapigwa hesabu na TRA wana lipwa labda 20m wanakula na yeye mtengenezaji deal anakula.
In the end inayofaidi ni Lake oil as wame save mamilion kulipa kodi.
Na hili ndio lilotokea ndio maana hawana ushahidi kama ameiba ila maneno tu.
Hivyo mhasibu kampuni hizi ni rahisi kutengeneza pesa " kihalali"
Ila ni dhambi kuacha kazi kwenye kampuni hizi
 
Sijui tukimbilie wapi tukapate haki. Nilipigwa na mgambo mlinzi wa FULL TIME SECURITY kisa nimeuliza kwanini mdogo wangu asukumwe? Police walikua wanapita na hawakusimama, nilipiga simu ya police emergency kupata msaada nikaambiwa ongea nao vizuri. Ntapiganaje au kuongeaje na askari hawa wenye jaza na mimi ni msichana mdogo mweye mwili mdogo? Ntashindana na high heels kwa marungu ntawezea wapi? Kilichobakia nikuwapiga picha na kuweka Kumbukumbu nilipigwagwa na huyu mgambo. USIPOKUWA NA JINA AU HELA TANZANIA HUTHAMINIKI
 
Kama hakuna ushahidi wa kulawitiwa pia hakuna ushahidi wa kuibiwa 16b
Hio nayo ni defence tu baada ya kuona unyama huu upo nje .
Hivi wizi wa bilion 16 cash ! Unawezekana ? Hao lake oil wana magari mangapi? Sales zao ni shs ngapi kwa siku ? Mtaji wao ni kiasi gani?
Hata huko EPA watu hawakuiba fedha kama hizo.
Kwanini huyo Ali mshenzi asijitokeze mwanzo kumtoa kwenye gazeti kuwa ameibiwa na huyu jamaa? Mnakuja ku defend baada ya jamaa kulalamika?
Hivi TRA hamuendi huko lake oil kupata kodi maana cash billion 16 zimeibwa na mtu mmoja tu ina maana hii company inatengeneza Matrillion. Kwa nini mnajihangaisha na machinga kariakoo na EFD

16b ni pesa za kawaida kwa campuny kama ya lake fanya hesabu ni lts ngapi za disel na petrol na fuatilia tz wanavituo vya mafuta vingapi na fuatilia wana tenda zao ndani na nje ya nchi. Kama muhasibu anamiliki usd 100000 ndani na gari ya kifahari fourtuner ya 70m mbali ya nymba nje ya nchi. Je bank ameweka ngapi?
 
Tatizo ni wewe kuhama kwenye mada kuu kabisa na kulazimisha kuwa tujadili hii sasa. Well, umejitahidi kuandika,lakini umeandika kwa mihemko mikubwa sana, kama vile una mahaba au maslahi binafsi kwa aliyefanya kitendo hiki cha kinyama.....Sintobadili mada na kuanza kukujadili wewe. Mada iendelee kujadiliwa sahim1

Huwezi kukwepa ubaguzi ulio nao nafikra zako chafu kwani ww unaemtetea huyo mwizi mdosi unamaslahi nae au mulishirikiana kumuibia huyo unae sema nina mahaba nae au maslahi nae?
 
Nimesoma maoni ya wadau hapa chini na yote yanasikitikia kitendo hiki,mimi sina cha kuongeza ila niseme tu kwamba kama wewe Ally Awadh, bosi wa Lake oil kweli umefanya haya mambo ndani ya nchi yangu,basi kwa niaba ya vijana wa nchi hii wenye mtazamo kama wangu,nakuonya kwa hasira sana na bila chembe ya utani hata kidogo,Raisi wangu anaweza kuwa dhaifu,Jeshi letu la polisi unaweza kulinunua,lakini huwezi kutununua sisi vijana wote!Hivyo basi tunakuhakikishia kwamba kuanzia leo umekuwa adui wa taifa hili na tutakushughulikia tu,it might take time but I can guarantee you that u will eventually face justice,legally or illegally!

Dah namimi nakuunga mkono pesa sio kila kitu ipo siku tu haki itapatikana
 
Huwezi kukwepa ubaguzi ulio nao nafikra zako chafu kwani ww unaemtetea huyo mwizi mdosi unamaslahi nae au mulishirikiana kumuibia huyo unae sema nina mahaba nae au maslahi nae?

Wewe embu kaa kimya watu tunakuangalia tu unavyohangaika kumsafisha huyo chizi wako mwenye kipara,naona hujui kitu kumhusu huyo aliyekutuma.kwa heshima na taadhima nakuomba uache hiyo kitu.niko chini ya miguu yako,kama ulivyosema umeachiwa urithi na baba yako sasa hizi nyingine wazitakia nini?.Huyo white alipelekwa hapo lake na puppet mmoja anaitwa farouk.
 
Umri wangu haunizuii kushangalia kuwa wakili anatowa rushwa!

Ok kweli umri ni namba tu!!!!!
Ukikua utajua tofauti ya kushangalia kutoa na utaelewa kuwa hata kupokea inawezekana achilia mbali kutoa!!!!
 
Wewe embu kaa kimya watu tunakuangalia tu unavyohangaika kumsafisha huyo chizi wako mwenye kipara,naona hujui kitu kumhusu huyo aliyekutuma.kwa heshima na taadhima nakuomba uache hiyo kitu.niko chini ya miguu yako,kama ulivyosema umeachiwa urithi na baba yako sasa hizi nyingine wazitakia nini?.Huyo white alipelekwa hapo lake na puppet mmoja anaitwa farouk.

Mm nadhani ww ndio ukae kimya uliemuhukumu huyu mtu kwa rangi yake. Hukupaswa kuingiza rangi ya mtu ulipaswa kuhukumu kosa la Ali sio rangi ya Ali. Ukumbuke wenye rangi na kabila ya Ali wapo wengi ila kosa analotuhumiwa Ali wapo wachache tuu au ni Ali peke yake. Na hata kama huyo mtu unae muita White alipelekwa Farouk sidhani kama alipelekwa kwa ajili akaiibe. Na ujue mm sipo hapa kumsafisha ali na sipo hapa kumtetea mwizi. Nipo kwa kukufahamisha ww kama usihukumu mtu kwa rangi au kabila nahata dini muhukumu mtu kwa kosa lake . Ivi ww unaona Ali pekee ndio kafanya kosa huyo White wako hajafanya kosa? Laiti asinge muibia Ali je hayo aliyofanyiwa yangemkuta? Kama unaamini hivyo bssi unamapungufu au uanamaslahi na wizi alio ufanya huyo white wako.
 
Kama hakuna ushahidi wa kulawitiwa pia hakuna ushahidi wa kuibiwa 16b
Hiyo nayo ni defence tu baada ya kuona unyama huu upo nje .
Hivi wizi wa bilion 16 cash ! Unawezekana ? Hao lake oil wana magari mangapi? Sales zao ni shs ngapi kwa siku ? Mtaji wao ni kiasi gani?
Hata huko EPA watu hawakuiba fedha kama hizo.
Kwanini huyo Ali mshenzi asijitokeze mwanzo kumtoa kwenye gazeti kuwa ameibiwa na huyu jamaa? Mnakuja ku defend baada ya jamaa kulalamika?
Hivi TRA hamuendi huko lake oil kupata kodi maana cash billion 16 zimeibwa na mtu mmoja tu ina maana hii company inatengeneza Matrillion. Kwa nini mnajihangaisha na machinga kariakoo na EFD

Kwenye Bluu, hii ya 16Billion imekuja parallel na kesi kuu ya kulawiti, na pengine hata kwenye story kuu ni kwamba ilianza kutajwa hii 16Bil ndio maswala ya kulawiti yakaja baadae, haikuja baadae kama defensive mechanism. Aliasger anasema alivyoitwa na Ally ofisini kwake akatukanwa na kuulizwa kwanini ameiba Billion 16.

Na kwenye red aliekuambia zimeibiwa cash ni nani??

Halafu huyu alikua ni Finance Manager kwa muda wa miaka 3-4, kuna namna yake alipiga hizi hela. Ungekua ni Mhasibu usingepata tabu kujiuliza alipigaje. Lakin kikubwa tu ni kua njia ni nyingi sana za kupiga kwa mtu ambae ni final say kwenye masuala ya fedha. Mathalani makampuni yanalipa kodi mbalimbali, kuna wajanja hucheza na TRA na makampuni kisha hu-divert fund kwenda kwenye shimo/chimbo.

Nikikuambia kwenye kila lita moja ya Petrol/Diesel/Kerosene unayotumia, Serikali imekula Tshs 500 ya kodi unaweza usiamini, sasa kwa kampuni zinazoingiza lita karibia 3million, kodi yake inakua Tshs 1.5Billion ambayo inalipwa serikalini kwa awamu tatu. Hapa ndipo wajanja wa mjini wanapoingia kati kwa ku-divert awamu mojawapo ya hizi tatu wakishirikiana na wahasibu na TRA. Taarifa za awali zinasema hii ni mojawapo ya fedha alizopiga huyu jamaa.

Watu wamekopa benki, wamekopa makampuni ya malori halafu ---- anakuja kula hela kiulaini tu, anatanua mjini, sijui ana appartment city centre, e.t.c utamuachia tu?? Hata ningekua ni mimi yani nimeibiwa mimi lakini yeye mwizi ndie angeenda polisi au mahakamani
 
Nadhani unataka kuhalalisha hoja zako kwa kutumia nguvu ingawa huna ushahidi wa huyo mtu kulawitiwa. Na hata nikiamini kama kalawitiwa kwangu mm sioni kama ni adhabu tosha ukilinganisha na kiasi alichoiba. Ukizingatia mshahara alio kuwa analipwa na huduma nyingi nzuri alizo kuwa anapewa na mwajiri wake. Hii tabia ya kutetea wezi ndio imeifikisha nchi hapa tulipo. Mfano tu gari ya serikali inatoka hapa dar kwenda mwza inatumia dasel lts 200 lakini gari hiyoyo vx cc 420 ya mtu binafsi inatumia lts 150 . Kwa haraka haraka hapo dereva ameshaiba lts 50 na kurudi 59 lts jumla 100 lts sawa na tsh 200000. Huyo ni deteva 1 kwa trip 1 je kuna madereva wangapi na trip ngapi ktk safari za kiserikali bado bosi hapo hajaiba. Tusiwe wepesi kuangalia upande 1 wa shingi tumuangalie nahuyu alie ibiwa 16b tusimuhesabu kwa kuwa nitajiri tu huo unatijiri wake kuna madeni kila kona mabenk yanataka kulipwa mikopo iliyochukuliwa sio pesa zake hizo ni pesa za watu yeye ni dhamana tu wa kuzisimamia. Halafu uruhusu mjinga 1 achukuwe 16b vipi utamudu biashara? Siku ya yasiku utasikia minada lake oil petrol station ya malapa buguri inaizwa kwa mnada CRDB wanadai chanzo mmliki kadhindwa kulipa deni kwanini ?Wafanyakazi wanaiba sana hata mm sikubali hilo ningelawit familia nzima mpaka majirani zake ningewachafua.ukhanisi hu mtu unampa kila kitu halafu anakuulia bishara yako kwa kukuibia mabilioni ya pesa.

Ha ha aaaa we jamaa tulia na hoja moja basi mara madereva wametobolewa macho,maswali yake hujajibu!!!! saa hizi tena wanaiba mafuta, may be ila si unajua T.O ndio ana issue sasa dereva hapo anakuwa kama frontliner tu hiyo ni syndicate ujue!!!!!!!

Hii mifano yako well haiko relevant sana!!!!!!
Ok hivi say kweli kaiba na kila kitu kiwe hivyo unavyoelezea sasa si ndio iko mikononi mwa polisi nini kimefanyika????!!!!Hapa kuna pande tatu,mlalamikaji,mlalamikiwa na serikali so panua mawazo yako ili kupata uhalisia usiongee kama tupo mwituni!!!!!
Suala la kulawitiwa ni zaidi ya maneno ya mdomoni maana inahitajika proof beyond reasonable doubts sasa sijui wewe hapo unasimamia wapi???!!!! Wewe unaunga mkono so unajua ni kweli? ????Mbona huulizi hospitali alienda kufanya nini????!!Majibu yakoje???!!!!

Nishasema sana huyu ni bruglione katia mkono sahani ya don!!!!!!Na nishaandika huyu mlalamikaji hajasema yote juu ya hili!!!!!In short wao wawili wanajua zaid na waliowazunguka wanajua kiasi!!!!!

Wewe unakomalia kuwa ungeweza ku sodomize mpaka majirani this shows hizi "show" wewe unaongelea muhemko tu na huna ujualo nishaandika huko juu on
"culture" sasa hili unaloongea wewe lipo wapi???!!!!

Jua huu mjadala unaakisi maisha ya wengi na vulnerability ya majority wakati kuna vyombo vya ulinzi,kuiba si sawa ila kama kila atayeibiwa afanye lake patakalika hapa????!!!!

Hivi wewe unayefikiria ku sodomize eti hadi majirani unajiona uko immune sana kwa nyumba za urithi???!!!Amka uishi maisha ya kweli acha porojo mkuu!!!!

Law of the jungle ipo lakini haiwezi kiwa wazi kiasi mtu ahoji uwepo wa serikali. Hapo ndio panaumiza wengi humu kama unasoma na ku analyse kwa dhumuni la kuona reaction ya jamii juu ya matukio ili kuoata picha ya amani!!!!!
 
Nadhani hutaki kujua nini nicho andika na nini ninacho kusudia zaidi unataka tukufaham na tuamini kuwa ukisemacho uko sahihi na unakifaham zaidi. Ni vyema ukawa mtulivu wakati wakosoma na utafakari nini kimeandika na kimekusudia . Nimesema tunatabia yakutetea wezi. Na nimesema tabia hii ndio imetufikisha hapa tulipo. Nanimetoa mfano mmoja tu huo wa wizi wa disel.wanao lawitiwa ktk nchi hii wapo wengi na hata wanao uwawa wapo. Sioni laajabu ktk hili labda kama kuna zaidi ya hili nyuma ya pazia. Namimi sio mtabiri kujua yalio jificha najaribu kuchangia kile kilicho ainishwa tu.
 
Back
Top Bottom