Waliotoboa madereva macho wana biashara gani???!!!
Ni raia wa wapi???!!!
Wana adress? ??!!!
Unawajua japo kwa majina achilia sura zao???!!!
Huyo muuza nguruwe hivi sasa yuko wapi na muendelezo wa hilo tukio ukoje bado yupo uraiani???!!!
Ndugu yangu Olesaidimu usikurupuke kuhoji au kujibu jambo usilo lijua nikama kudandia gari kwa mbele . Hilo ulilolisoma hapo juu nijibu nililo mjibu kdm 255 ww umekurupuka hata lakukujibu sina kwa kuwa huko ndani ya mads yetu pole