Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,984
- 30,178
Sikiliza, Ni kweli huyu Aliasger kaiba but sio Billion 16. Ila tu sasa hela alizoiba ameziiba katika hali ambayo huwezi kushitaki, ndio maana Ally kwa kujua hana ushahidi wa kumsaidia mahakamani akaamua ku-deal nae kihuni a.k.a kimjini mjini.wewe huyu mshenzi nani wako? Maana ushahidi wa yeye kuibiwa bilioni 16 unao wewe peke yako, habari ya kuwa eti "walitumwa wakambane tu" wewe umejuaje?
Haiwezekani niibiwe bilionio 16 halafu nimnyang'anye mtu vijumba viwili vitatu. Na kwa upande wa pili katika hali ya kawaida haiwezekani niibe bilioni 16 halafu nikilipiziwa kisasi nianze kuitangazia dunia nimelawitiwa. Ni wazi hapa muhindi kaonewa.
Huyu Aliasger nae hata hivyo alivyonyang'anywa havifikii alichoiba, na hata huko kushitaki kua amelawitiwa na kunyang'anywa mali navyo havina ushahidi. Kama ni kweli anavyosema, Watu wamemlawiti ndani ya godown ambako walioshuhudia wote wako upande wa Ally. Hayo manii (ashakum....) ya kina Abeid yatakua yapo tu mpaka leo kwenye nanii yake huyu mhindi?
Hizo mali alizosaini kua amehamisha umiliki kwenda kwa Ally, imechukua siku ngapi mpaka kuja ku-report hilo tukio polisi? Lilifunguliwa jalada? Lini? Na Ally akimgeuzia kibao kua kuna biashara walifanya ndio akamuachia hizo mali (Pengine alisainishwa hivyo kilazima) atakanaje?