Monyiaichi
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 1,826
- 508
Mwenye picha jamani ya yule malkia alie bakwa. Dah ndio maana watu wanafia vifuani kwa ajili ya mahisia. Yule mtoto mzuri jaman!!!!
mbakaji alikuwa akitishia kumuua endapo angetoa siri ya ubakaji huo lakini alipobaka mara ya 3 uvumilivu ukamshinda mbakwaji ndipo akatoa siri kwa nduguze ambao walimsaidia kupata msaada wa kisheria. wewe ulitaka abakwe mara 100 hadi aambukizwe mimba na ukimwi ndipo ashitaki?
Sijui kama hayo yataangaliwa kwasababu kwa ufahamu wangu SOSPA inamlinda sana Mwanamke haswa akiwa under 18. Ona mwenyewe kifungu hiki:
Section 130 of the Penal Code is hereby repealed and replaced with the following:
130.-Rape
(1)It is an offence for a male person to rape a girl or a woman.
(2)A male person commits the offence of rape if he has sexual intercourse with a girl or woman under circumstances falling under any of the following descriptions:
(a)not being his wife or being his wife who is separated from him without her consenting to it at the time of the sexual intercourse;
(b)with her consent where the consent has been obtained by the use of force threats or intimidation or by putting her in fear of death or of hurt or while she is in unlawful detention;
(c)with her consent when her consent has been obtained at a time when she was of unsound mind or was in a state of intoxication induced by any drugs, matter or thing, administered to her by the man or by some other person unless proved that there was prior consent between the two;
(d)with her consent when the man knows that he is not her husband, and that her consent it given because she has been made to believe that he is another man to whom, she is, or believes herself to be, lawful married;
(e)with or without her consent when she is under eighteen years of age, unless the woman is his wife who is fifteen or more years of age and is not separated from the man.
Kimsingi sikatai kuwa hii issue imepangwa lakini ukiangalia hivyo vifungu utaona Utaona kuwa utetezi kuwa hili jambo lilipangwa utakuwa hauna nguvu kwani the issue ni kuwa binti yupo under age hakuwa na hiari ya kufanya hilo jambo na mwanaume alipaswa kutambua umri wake kabla ya kufanya nae.
Wakati unaongelea maisha ya mtu kila kitu kinaangaliwa labda asiwe na Wakili mwenye maana.
Kwa kesi ya huyu kijana na huyo binti, sioni kama kuna kesi ya maana hapo, wakili yoyote mzuri anashinda hiyo kesi bila jasho, ina technicalities nyingi sana za kuonesha kuwa kuna kubambikiana.
hakumshitaki kwa mara ya kwanza kwa kuwa Mbakaji alikuwa akitishia kumdhuru Mbakwaji endapo angetoa siri ya kubakwa kwa watu au kushitaki mahakamani. ndio maana mchungaji Gwajima alichukua jukumu la kumficha Mbakwaji ili asije kadhuriwa na Mbakaji. Umeelewa eeh?
kutokana na data zote, sidhani kama ubakaji uliohusika ni wa ku-force. labda ni case ya kwamba huyo mtoto alikuwa under 18. coz sioni sehemu inayosupport theory ya kubakwa mara 3 na 'kusababishiwa maumivu makali'..
Kwenye gari nani shahidi hapo
Inawezekana tunatofautiana tafsiri ya neno kubaka ni nini....Sio lazima utumie nguvu, sio lazima binti akatae, sio lazima apate michubuko nk, nk,nk. So weather nguvu (force) au ushawishi (kutongoza) haijalishi.
Alibakwa mara 3 yaani 1,2,3 huenda hata alimwuliza shemeji umemaliza? Basi acha niende kwa walinzi wa Gwajima halafu wanipeleke polisi. This is a total joke infact it's rubbish...
Natumaini unaposema "Maisha ya Mtu" na binti pia anahusika hapo kama ambavyo Emma anahusika.....
Anyway lets wait an see maana tusijekuhukumu kabla ya mahakama though kwa ufahamu wangu mdogo wa mambo ya kisheria (mimi sio mwanasheria) kinachohitajika katika kesi ni evidence.... Kwamba ni kweli anayedai kubakwa (hata kama alivua mwenyewe) yupo under 18 sioni Emma anapochomokea na kukawa na evidence ya kuwa kitendo chenyewe kilifanyika na wahusika wakakomaa na kesi ni ngumu sana. Pona ya Mbasha katika mazingira kama hayo ni mazungumzo ya kifamilia ama binti akakanushe aliyokwisha eleza polisi (na hapo wanaweza kumgeuzia kibao ni kumfungulia mashtaka na kuisumbua jamhuri au kutoa taarifa za uongo nk) au binti apotee asionekane mahakamani baada ya muda shtaka litafutwa...Huo uzuri wa wakili mpaka sasa siuoni uta-play part wapi.
If this is one face of a shilling, tell us about the other side....inaonekana wewe unajua mengi kuliko Mbasha na Mbakwaji wanavyojua! Ushahidi wa kutosha umeishapatikana na ndiyo maana kesi ipo mahakamani...sasa unabisha nini?