Jamhuri: Mbasha alibaka ndani ya gari

tpaul

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2008
Posts
27,181
Reaction score
27,781
Uchunguzi wa polisi unaonyesha kwamba muimbaji nguli wa nyimbo za injili nchini, Emmanuel Mbasha, alimbaka shemejiye ndani ya gari mara 3. Mbasha anashtakiwa na Jamhuri baada ya kumbaka shemejiye huyo mwenye umri wa miaka 17 na kumsababishia maumivu makali sana. Aidha alimvurugia matumaini ya kuendelea na masomo hasa ukizingatia kwamba binti alikuwa bado ni mwanafunzi, na pia kumweka katika hatari ya kumuambukiza magonjwa ya ngono kama ukimwi.

Adhabu kwa wanaume wanaopatikana na hatia ya kubaka watoto wadogo ni kifungo cha maisha jela pamoja na kuchapwa viboko.

Hata hivyo, Mbasha bado anakana kuhusika na ubakaji huo. Lakini mbivu na mbichi zitajulikana baada ya kusomwa hukumu.

 
Mwenye picha jamani ya yule malkia alie bakwa. Dah ndio maana watu wanafia vifuani kwa ajili ya mahisia. Yule mtoto mzuri jaman!!!!
 
Mwenye picha jamani ya yule malkia alie bakwa. Dah ndio maana watu wanafia vifuani kwa ajili ya mahisia. Yule mtoto mzuri jaman!!!!

Mkuu lile Toto hata mimi ningelifuturu Mara 3 Tu!Maana Yule mtoto Mungu katumia ufundi wa ziada jamani!
 
alibakwa mara tatu... hii rekodi ya dunia, mtu kwa free will unabakwa mara tatu umetulia tu.. labda ka alikua anafungiwa somewhere as in kua kidnapped afu msela anajipimia akitaka.. huyu jamaa na familia yake cheche sana, matatizo ya familia wameyakuza wee, mwishowe mtu atafia gerezani, inabidi wakae wote familia na huyo mbakaji wafikirie twice which way they wanna take, njia hii itapelekea lifetime torture, u wont have a peace of mind kujua ulisababisha mtu afungwe jela for a lifetime...
 
Hili gubegube ndio la kupata maumivu makali kwa kugegedwa na kidume kimoja? Ishu nyingine hata haziingii akilini kabisa eti vipimo vinaonyesha aliingiliwa kwani alikua bikra? Yani mashtaka yalivyo tu kesi hakuna bora wangemshtaki kwa kubaka tu lkn habari ya kumsababishia maumivu imekula kwao na hata huo ushahidi wa daktari wa kitoto muda wa tukio na muda aliokwenda hospital ni kichekesho
 

Na bado unaambiwa ana miaka 17! Shangaa tena
 
Kabakwa mara tatu???teh!teh!kuna kesi ambazo zinaweza kusikilizwa tu hapa tanzania..
 
''na kumsababishia maumivu makali sana''...................Waandishi wa habari, yaani ukisikia habari ya mtu kubakwa lazima hii sentensi iwepo.

Hivi kila anayebakwa huwa anasababishiwa maumivu makali sana?!
 
Mmmmh! saumu zetu jamani. sijui kwann nimefungua hii sredi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…