James Sinclair: A Friend or Foe?

YY,
Hawa tumewamilikisha Ardhi yetu na vyote vipatikanavyo humo kwa ajili ya Tamaa iliyoendekezwa na watu wachache waliopewa dhamana kuilinda hiyo Ardhi na Mali.

Kupitia mikataba mibaya na si kwamba hawakuwa wakielewa bali walifanya hivyo kuridhisha nafasi zao na kutojali wananchi waliowengi.
 
YY,
Hawa tumewamilikisha Ardhi yetu na vyote vipatikanavyo humo kwa ajili ya Tamaa iliyoendekezwa na watu wachache waliopewa dhamana kuilinda hiyo Ardhi na Mali. Kupitia mikataba mibaya na si kwamba hawakuwa wakielewa bali walifanya hivyo kuridhisha nafasi zao na kutojali wananchi waliowengi.

KNKCU

Nilivyoelewa ni kwamba huyo jamaa/kampuni yake INAMILIKI hiyo arthi. Au mimi nimeelewa vibaya..??
 
Mwanakijiji,
Hisa zao zinauzwa Toronto, New York na London. Mtanzania yeyote atakayekuwa na hisa huko ujue ana mkono mrefu---yaani kishaiba nyumbani kuwekeza kwenye kampuni hiyo. Huyu jamaa kamwajiri kijana wa George Kahama pale DSM na kila mara rais Kikwete anapokuja Marekani wanakutana.

Sijui wana dili gani. Lakini kama alivyosema Dua, huyu ni kibaka wa kutupa mbali.
 
sasa jamani watanzania tulioko nje mnaonaje na sisi tununua hizi share ili tupate sauti humo ndani kwenye vikao vya wenye hisa? huhitaji fedha nyingi kununua hizo hisa, tufanye uchunguzi kidogo...
 
....Sinclair amekuwa akitamba kwamba "anawajua" viongozi wote wa tanzania.vilevile anatamba kwamba tayari anamjua Mtanzania atakayemrithi Jakaya Kikwete!!!
 
....Sinclair amekuwa akitamba kwamba "anawajua" viongozi wote wa tanzania.vilevile anatamba kwamba tayari anamjua Mtanzania atakayemrithi Jakaya Kikwete!!!

Sentesi kama hizi ndo zilimuudhi Mwalimu Nyerere miaka ile akamtimua mzungu mbio! Huyu mzungu ni mshenzi sana;samahanini sana lakini sina neno lingine!
 
sasa jamani watanzania tulioko nje mnaonaje na sisi tununua hizi share ili tupate sauti humo ndani kwenye vikao vya wenye hisa? huhitaji fedha nyingi kununua hizo hisa, tufanye uchunguzi kidogo...

You want us to become compradors sio? Tutapata sauti gani kama Rais wetu mwenyewe amewekwa kwapani? I am very skeptical of this kind of move!
 
tena inamiliki milele, yaani serikali haiwezi kujitoa bila kupata adhabu kali!!!

Kwa mantiki hii: Kuna siku kitatokea kikundi cha kigaidi bongo chenye lengo la kulipiza visasi kwa watu kama hawa walioachia mali ya taifa kupotea namna hii. Hao watanzania watawaunga mkono kama vile Al-keda wanavyokubalika huko Palestina na kwingineko.
 
You want us to become compradors sio? Tutapata sauti gani kama Rais wetu mwenyewe amewekwa kwapani? I am very skeptical of this kind of move!

Mwanasiasa, lengo ni kuwa kama hawa wageni wanaweza kununua hisa na kugawiana faida kila mwaka wakati nchi si ya kwao.. kwanini nasisi tusijiunge na kufurahia matunda ya nchi yetu?

Nafikiri kwanza itawashitua sana kama baada ya kama mwezi mmoja Watanzania wa kawaida wananunua hisa na kama tukiwa wengi (kiidadi au kihisa) unakuwa na block kwenye kikao cha wanahisa and you can have a very strong influence!! Just think about it.. hata tukiweza kununua hisa za asilimia 2 tu (kwa mfano kupitia ile kampuni ya uwekezaji ya Tanzania - nimesahau jina lake)....
 
Mwanasiasa, lengo ni kuwa kama hawa wageni wanaweza kununua hisa na kugawiana faida kila mwaka wakati nchi si ya kwao.. kwanini nasisi tusijiunge na kufurahia matunda ya nchi yetu? Nafikiri kwanza itawashitua sana kama baada ya kama mwezi mmoja Watanzania wa kawaida wananunua hisa na kama tukiwa wengi (kiidadi au kihisa) unakuwa na block kwenye kikao cha wanahisa and you can have a very strong influence!! Just think about it.. hata tukiweza kununua hisa za asilimia 2 tu (kwa mfano kupitia ile kampuni ya uwekezaji ya Tanzania - nimesahau jina lake)....

Inaitwa NICO, mimi ni mwanahisa. Kwa kujiunga sawa tunaweza tukapata nguvu. Sasa kwa nini tusifanye hii kitu rasmi, fanyeni utafiti tuone namna wanavyouza hizo hisa, na tunahitaji angalau hisa ngapi ili tuwe sehemu ya maamuzi and how much we need to raise.

Hii itakuwa tumefanya kitu kizito sana. Lakini kwa kuingia moja moja tutakuwa tumeliwa!
 
yeah..hiyo Nico... na kuna ule mfuko mwingine pia...give me sometime nitatafuta hizi details.. (au kuna mtu atakayeniwahi go ahead) kwa maana tumechoka kulalamika. Let us do something positive for a change. Nimeshazungumza na watu wachache humu (privately) ambao wanaona kununua hisa na kuna baadhi ya Watanzania tayari wana hisa. Ila la kwetu hapa hapa is more of economic strategy!

Lakini Nico has not updated its website for sometime now.. http://www.nico.co.tz nina wasiwasi if they are that competent!!
 
The Unit Trust of Tanzania (UTT) or visit http://www.utt-tz.org/index1.php
 
Wazo la kununua share ni zuri lakini linataka watu ambao wako committed ili kulifanikisha. Tunaweza kupata angalau Watanzania 10 000 ambao wanaweza kuwekeza lets say kila mmoja share 1000. Kwa hiyo kila mtu atakuwa na at least Canadian $ 6000 kwa bei ya leo ili kuifikia hiyo 2%. Mwanakijiji mimi naona tuanze kukusanya list tujipange kila mwezi kuanza kununua shares, tukijipa muda i.e. kila mwezi kununua share at least Canadian $ 200 kwa wanaojiweza zaidi wanunue zaidi nafikiri tutafanikiwa. Inabidi tuwe na Broker mmoja pale Toronto ili asituchaji bei mbaya kwa kila transaction. Target ikiwa minimum of 1000 shares kwa kuanzia.

Floated shares zipo 527 376 629. share ambazo ni outstanding ni 86 455 185. Ukitaka kuona zaidi symbol ya kampuni hii ni TNX. Bei ya leo Canadian $ 6.04 kwa share.

Inabidi tuangalie hizo outstanding shares pengine ndio kwa ajili ya wabongo inabidi kufuatilia hili.
 
I was about to give up with JF!
This is not an issue of "If you cannot beat them, then join them" as is the case of many of our aspiring politicians (including opposition parties). This imove will be part of our small liberation. Pole Mwalimu Nyerere, these are different times. We have to fight in any way possible available to us. As for the majority Tz poor who are unlikely to directly gain, I say they will thank us, their kinfolks for representing them (legaly) in our anticipated move. Moreover, we would have bursted the big secret!

Therefore, count me in with or without JF's help.

The astonishing thing is, why are such issues treated as big secrets by our seemingly people oriented leaders?
I've a very good feeling about this folks. Let us delve into its details as much as possible.

MKJJ: I do not know the business you are in; but this one is sure a clincher. It is depressing to know that Tz Royalty in actual sense owns my babu's small shambas without our knowledge. We can be kicked out of our homestead any time when this gentleman's interests needs fulfilling. Now I understand why Nyerere decided to let the minerals stay undeveloped for all those years. The price is too high to bear!
 
believe me... hasa kama wakigundua madini Buzuruga, Busega, Igoma, Igogo, Mabatini, Maswa, n.k Sinclair lazima apate share yake!!! Kama kweli watu mko serious msikurupuke... tupange kama vile simba anyatiavyo mawindo! so that when we strike, it'll be an unanticipated move, precise in its strike, and deadly in its nature.

This one will separate men from boys, women from girls!! It'll separate those who like to do the talking but dare not to do the walking!! and of course, it'll separate those who like browsing JF, from those who do the posting!!
 
believe me... hasa kama wakigundua madini Buzuruga, Busega, Igoma, Igogo, Mabatini, Maswa, n.k Sinclair lazima apate share yake!!! Kama kweli watu mko serious msikurupuke... tupange kama vile simba anyatiavyo mawindo! so that when we strike, it'll be an unanticipated move, precise in its strike, and deadly in its nature.. this one will separate men from boys, women from girls!! It'll separate those who like to do the talking but dare not to do the walking!! and of course, it'll separate those who like browsing JF, from those who do the posting!!

MKJJ: Humaanishi Mwanza mjini, do you?
 
He is said to be the power behind the throne, the kingmaker, the ever faithful friend of our esteemed President. It is alleged that Mr. Sinclair and his company owns rights to all mining exploration in Tanzania in perpertuity! Hakuna kampuni itakayotaka kuchimba Tanzania ambayo inaweza kufanya hivyo bila kupata baraka na kulipa ada ya kufanya hivyo, kwani Sinclair na kampuni yake wanamiliki ardhi kubwa sana yenye madini!! Ni kweli ni rafiki yetu huyu au adui? What do we really know about him?

believe me... hasa kama wakigundua madini Buzuruga, Busega, Igoma, Igogo, Mabatini, Maswa, n.k Sinclair lazima apate share yake!!! Kama kweli watu mko serious msikurupuke... tupange kama vile simba anyatiavyo mawindo! so that when we strike, it'll be an unanticipated move, precise in its strike, and deadly in its nature.. this one will separate men from boys, women from girls!! It'll separate those who like to do the talking but dare not to do the walking!! and of course, it'll separate those who like browsing JF, from those who do the posting!!

MKJJ,MWANASIASA ,DUA NA WENGINE ,Kama tupo serious please Count me in!
 
Back
Top Bottom