James Sinclair: A Friend or Foe?

Mwanagenzi... nimepata PM yako, sorry yaani nilikuwa na flood ya PMs jana.. sikuweza kujibu zote. Wale walionitumia email (ni vizuri ukituma email kwani naweza kuangalia nyumbani na kuziweka kwenye kundi moja) nitawajibu halafu tuone tunaenda wapi kuanzia hapo. Ila tutaona options tulizonazo.

Kununua kama mmoja mmoja, kununua kama kundi moja, au kumtumia broker mmoja (na kupata discount)... n.k huo ni upande mmoja. Upande mwingine ni kuona kama NICO wana interest yoyote ya kununua share za TRC (siyo reli). Aljazeera, nitumie email basi maana kwa kadiri siku zinavyokwenda, hii mada inaweza kusukumwa chini...
 
Mwanagenzi... nimepata PM yako, sorry yaani nilikuwa na flood ya PMs jana.. sikuweza kujibu zote. Wale walionitumia email (ni vizuri ukituma email kwani naweza kuangalia nyumbani na kuziweka kwenye kundi moja) nitawajibu halafu tuone tunaenda wapi kuanzia hapo. Ila tutaona options tulizonazo...kununua kama mmoja mmoja, kununua kama kundi moja, au kumtumia broker mmoja (na kupata discount)... n.k huo ni upande mmoja. Upande mwingine ni kuona kama NICO wana interest yoyote ya kununua share za TRC (siyo reli)... Aljazeera... nitumie email basi maana kwa kadiri siku zinavyokwenda.. hii mada inaweza kusukumwa chini...

MKJ!
Nilikutumia email ila naona jiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
 
Thanx MKJJ,

Hawa nao vipi?

Williamson Diamonds firm in suspect royalties evasion scam

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

Mwadui-based Williamson Diamonds Limited (WDL) is now in the spotlight over the use of a so-called ’shell’ company, New Alamas Ltd, to mine diamonds on a 3,000-acre plot in Kishapu District, Shinyanga Region without paying due taxes and royalties to the government.

It is alleged that a lease held by New Alamas Ltd over the said plot, lapsed way back in 1964 and the plot has remained un-leased and therefore officially unrecognized ever since, while WDL continues to conduct mining activities on it undeterred under the guise of the ’shell’ company.

THISDAY investigations have revealed that the piece of land was first leased out in 1944 by the colonial government to Alamas Limited, which had registered offices at the Standard Bank Chambers on Main Avenue in Dar es Salaam.

The lease No. 224 title no. 5954 covered a period of 20 years and was officially recorded as being ’for the purpose of mining diamonds only’.

In 1963, a year before the lease was scheduled to expire, it was re-assigned to a newly-constituted company named New Alamas (1963) Limited, owned by Williamson Diamonds Limited and two individuals, Sylvanus Mipawa and Phares Kitanzi Songo. But ever since the lease eventually lapsed in 1964, no efforts have been made to renew it under either New Alamas Ltd (NAL) or Williamson Diamonds Limited (WDL).

Current records at the Business and Registration Licensing Authority (BRELA) in Dar es Salaam show that the two registered directors of NAL are still Sylvanus Mipawa and Phares Kitanzi Songo, owning three and one shares respectively, while the bulk of 96 shares is owned by WDL. The company’s capital stands at 2,000/-, with each share valued at 2/- (two shillings).

However, it has also come to light that in a 1992 letter addressed to the government’s commissioner of mines, WDL said it had acquired all 100 per cent of NAL shares.

’’The activities of NAL have over the years been carried out as a department/section of WDL to save costs it is against this background that the directors of WDL resolved in 1988 that NAL should be merged with WDL,’’ said the letter dated May 16, 1992 and signed by one P.K Songo for the general manager.

The same letter, however, also states: ’’In order to effect such a merger, legally NAL as a company has to be dissolved or liquidated, its assets sold or transferred, and creditors paid off. To facilitate the dissolution we have been advised that the best way would be for NAL to transfer its property to WDL, thus rendering NAL a ’shell’ company.’’

But again, without regard to the aforementioned letter, on March 9, 2000 the Ministry of Energy and Minerals granted mining licence (ML) 71/2000 to New Alamas Limited for the purpose of mining diamonds on the same block in question. Five years later, the area subject to ML 71/2000 was converted to special mining licence (SML) 216/2005 for NAL, to cover a period of 25 years from the date it was issued.

The ministry’s actions were in direct conflict with WDL’s letter of May 1992, with reference number 4/DOC.CNV/224/80/92, which categorically informed the commissioner of minerals that NAL was in the process of winding up and that it was working as a mere ’shell’ company.

According to BRELA officials, the company New Alamas Limited is still in the statute books, but since 2002 has not duly filled any annual company returns. Nor does BRELA have a formal NAL resolution empowering WDL to take overall shares of the company. It also does not have a similar resolution from WDL agreeing to the merger.

A BRELA source told THISDAY that the licensing authority was still awaiting formal notice of the said transfer of NAL shares to WDL, as well as the fate of NAL individual shareholders and director Phares K. Songo and Sylivanus Mipawa. While WDL says it has taken over NAL by 100 per cent, BRELA continues to assert that ’’since 2002 the names of the directors of NAL have been changed without following proper procedures.’’

And in the meantime, further THISDAY inquiries about NAL with the Tanzania Revenue Authority (TRA) have revealed that the TRA does not have a tax file on New Alamas Limited.

Sources within the Ministry of Minerals and Energy also revealed that lease No. 224 title no. 5954 had ceased to exist in the register altogether, directing THISDAY to contact the Ministry responsible for lands on the issue of right of occupancy ’’since the Ministry of Energy and Minerals does not deal with these types of rights.’’

Further THISDAY inquiries at the Kishapu District Land Registry Office, on whether there had ever been an extension to lease 224 title no 5954 which lapsed in 1964, prompted a reply via letter reference KDC/L.20/20/1/50 on September 29 last year, in which an official at the district registry said simply that ’we do not have any records regarding such lease title.’

According to BRELA officials, Williamson Diamonds Limited is jointly owned by Wilcroft Company Limited with 600B shares and the Tanzanian government with 600A shares of 10,000/- each. The company share equity stands at 12m/- . The last company return filled at BRELA shows that WDL current directors are Bob Nyangi Makani, F.M Kazaura, J.P Kipokola, Gerald Majula Manyonyi and Stephen Lwechungula Bugaisa. Others are Winston Mahanga, Nicholas Frederick Oppenheimer and Timothy Wills Hugh Gabon.

The rest are M.A Grantham, Peter James Roy Leyden, Anthony Ernest Oppenheimer, William Henry Manning, Robin Macnab Crawford, and R.P
Read on at ThisDay
 
Lile suala la TANSORT liliishia wapi? Mara ya mwisho nilisikia kamati ya bunge chini ya Mhe Hamad Rashid wakisema kitengo kivunjwe. Kiliishavunjwa au jamaa bado wapo London wanatesa? Maana kutesa kwa zamu!
 
Wanaforum,

Habari za mwizi Siclair hazikuwa zimewekwa hadharani kama hapa: ahsante Mzee Mwanakijiji na wanaforum woote mnaotoa michango ya haja humu ndani. SASA:-

Ili na mimi niliye Dar es Salaam niweze kununua share kwa kutumia broker wa overseas (I'm apprehensive with Dar brokers!) nifuate njia gani? Naweza kujinyima bila maumivu kutoa dola 500 by June!
 
wambandwa... hit me with your email.... kwanza kabla ya kufikiri ni jinsi gani tutatununua.. tunahitaji watu waliojicommitt. Halafu kwa pamoja tutaamua ni jinsi gani tutafanya hili liwezekane.
 
wazee mliowasiliana nami, big news coming up very soon, nimezungumza na watu wa Nico, kama kweli tuko serious we better get ready.

Waswahili wengine changamkeni. Mlionipa email zenu, chekini email zenu baadaye leo, nitawapa exclusive details...!
 
Mwanakijiji,

Am outdated! Please niunganishe kwenye mail. I confirm thru here. Send me info for further steps.

Thanks in advance
 
hii ni barua ya James Sinclair... kuna wabongo maeneo ya Toronto watuwakilishe.....

Re: Chairman's Corner - Tuesday, February 20, 2007

--------------------------------------------------------------------------------
Dear Friends:

We are holding the Annual General Meeting of Tanzanian Royalty Exploration - and your investment - at 10 AM EST on February 26, 2007 at Le Royal Meridien, King Edward Hotel, Windsor Ballroom, 37 King Street East, Toronto, Ontario.

If at all possible, I would like you to attend as important matters will be open for discussion. For those of you who can't attend in person, the AGM will be webcast however you will have to register in advance using the following link .

The meeting should last until 12:30 PM. However,I have booked the meeting room until 3 PM. Immediately following the AGM, I would like to invite interested parties to attend an informal, free-of-charge meeting on markets.

Since the room only holds approximately 100 people, please email us at 2007AGM@TanzanianRoyalty.com to indicate your desire to attend the informal meeting on markets from 12:30 to 3 PM. Please provide your name and affiliation if any. We will discuss general market subjects and address any questions you may have.

The available spaces for this meeting will unquestionably fill up quickly so please RSVP as soon as possible.

Even though the recent environment for gold shares has been soft, your Company has made significant strides that you may not fully appreciate. It is times like this when you must have accurate and complete information on your Company and its business activities.

Mr. John Deane, our president, will make a technical presentation that will include a discussion of our exploration activities in the past year. You will, in my opinion, be greatly impressed.

There are subjects you may wish to ask questions about including, perhaps, the following:

What is the Royalty Model exactly?

Why do you feel it is a better model than percentage juniors?

What exactly is biogeochemistry?

Why do you say the use of biogeochemistry and owning your own preparation laboratories give TRE/TNX a competitive advantage?

Describe your land position in the Kabanga nickel belt where Barrick and Xstrata are developing a world class nickel deposit?

Why do you have an office in China?

Will you provide details of the Itetemia/Luhala transaction?

What progress are you making at Kigosi?

Why do you feel Kigosi is special in your gold portfolio?

Where is income recognized under Canadian accounting rules on your financial statements?

What is the advantage of owning your own RAB & RC drilling equipment?

What is Induced Polarization (IP) and why do you think owning your own IP equipment is an advantage?

What are the qualifications of your directors and officers?

What makes the TRE/TNX land package unique?

How is the Company positioned politically in Tanzania?

What is Tanzania's approach to mining law and taxation?

How many Confidentiality Agreements are outstanding and on what properties?

Can more transactions be anticipated? How does you company earn income from day one on a royalty contract?

Exactly what is Mr. Sinclair's total investment in TRE/TNX? Why have you not considered other methods of finance?

And many others.............!
 
Mwanakijiji,
Samahani sana muungwana, nilipitwa kidogo na hii mada kwa hiyo sikuwahi kuifuatilia kabisa. Naogopa kuvamia naona tu habari za kununua hisa na hii ya mkutano wa huyu Gabacholi (msemo wa Mtikila).

Vipi kunaendelea nini hasa hapa? maanake niliposoma tu ile heading ya Sinclair sikupenda hata kufungua maanake simpendi kabisa mtu anayekuja nchini na kamba za kumiliki ardhi yetu kama vile uhuru tuliutafuta kwa ajiri yake.
 
Mkandara!
Jitahidi kama upo Toronto Ujiorodheshe kuhudhuria ili tupate nafasi ya kuwakilisha maswali na kutoa dukuduku letu na kupata uelewa zaidi wa huyu Gobacholi et al.kama ulivyomuita.Please Do IT FOR JF!
 
Mwanakijiji,
Samahani sana muungwana, nilipitwa kidogo na hii mada kwa hiyo sikuwahi kuifuatilia kabisa. Naogopa kuvamia naona tu habari za kununua hisa na hii ya mkutano wa huyu Gabacholi (msemo wa Mtikila).
Vipi kunaendelea nini hasa hapa? maanake niliposoma tu ile heading ya Sinclair sikupenda hata kufungua maanake simpendi kabisa mtu anayekuja nchini na kamba za kumiliki ardhi yetu kama vile uhuru tuliutafuta kwa ajiri yake.

Mkandara, in a nutshell.... kuna mambo yafuatayo:

a. Kwamba James Sinclair ambaye ni rafiki wa muda mrefu wa JK amemilikishwa sehemu kubwa ya ukanda wa madini ambapo makampuni yachimbayo madini yanamlipa royalties kwa muda mrefu. Inadaiwa pia kuwa sehemu hizo alizomilikishwa (kampuni yake ya Tanzania Royalties Exploration Corporation) ni za muda mrefu na ni vigumu kuzichukua tena (wengine wanadai milele!).

b. Kwamba, kwa kutumia kampuni hii watu wachache ambao ni Watanzania wana hisa na wanaendelea kumegeana hisa kwa kuifyonza nchi yetu wakati wengi wa Watanzania hawanufaiki. TREC inajivunua biashara yake kwa wabia na wabia wanaendelea kujinoma kwa kununua hisa nyingi kwenye kampuni hiyo.

c. Ni kwa sababu hiyo basi, tumezungumza hapa na kuona wakati umefika na sisi tuamue kuingia kwenye makampuni kama haya na kununua hisia. Katika kufikia hilo nimezungumza na watu wa NICO ambao tayari wamekuwa na mawazo kama haya na muda si mrefu mtasikia habari nzito toka NICO. Sasa nimekuwa nikiwapa watu wachache waliowasiliana na mimi privately exclusive updates kuhusu hii TREC na mipango inavyoendelea.
 
Kazi ndio Kipimo cha Utu,

Binafsi sidhani kama kuwakilisha kwangu kuna nafasi maanake huo mkutano ni wa hii kampuni na maswali kama hayo hawawezi kuyajibu na wala hawapaswi kunijibu kwa sababu pale wanajaribu kuuza hisa kwa wafanya biashara mbali mbali. Labda niwepo kama mtibuaji na itachukua jumuiya nzima ya Watanzania kuonyesha dalili ya upinzani kwa shirika hili. Peke yangu naweza tupwa nje ya mkutano na hakuna kitakacho saidia kabisa!
Na kama ujuavyo jumuiya zetu maneno mengi sana lakini inapofikia maswala kama haya.... loooh hiyo nomaaa, utajikuta peke yako!

Mwanakijiji,
Nadhani swala zuri sana ni kuwa na hao NICO... tena basi ningeomba sana mwakilishi wao awe nasi humu maanake hata mimi nafikiria sana kununua hisa kwao. Mapinduzi ya kifikra huanza sehemu kama hizi maanake NICO itasimama kama Union ya wananchi ktk swala hili. Time is now ktk swala zima la madini maanake tunaambiwa ati utaratibu wa Royalty ni 3% hali ukweli umesimama kuwa Tanzania haipati hizo 3%...Kisha huyu mtu anamiliki ardhi na ktk matangazo yao mengi sana hujivuna kuwa WANAMILIKI ardhi yenye deposit kubwa ya madini DUNIANI!... damn.

Na imekuwa vipi hiki chombo kisiwe cha wazawa kilichojiandikisha ktk soko la Marekani! hata kama iwe kuajiri Wamarekani office nzima sintajali ikiwa maslahi ya umikikaji ardhi bado upo chini ya wananchi.

Hata wangetumia NICO wenyewe!...
 
Wanabodi,
Kwa kuwa JK alitembelea NYSE, na akadai amewaomba wawe na ushirikiano na DSE, si ingefaa ushirikiano huo ukawezesha makampuni kama TNX kuuza hisa zake Dar es Salaam?

Nadhani hiyo ingekuwa bomba zaidi!
 
Back
Top Bottom