James Mbatia: UKAWA ipo imara, haitasambaratika, akerwa na kauli za Magufuli, CCM

Alikuwa anaongea kama anaongea na watoto wake. Huyu jamaa nilikuwa namheshimu sana lakini hotuba yake jana nimemdharau saaaana. Eti anataka mdahalo na mwenyekiti wa ccm na wa ukawa, shame on him, tangu lini ukawa ikawa chama.....bila aibu anasema kuna ukawa aina tatu....hii imethibitisha kama alivyosema mzee warioba ukawa wamepoteza uelekeo na maelengo yao ya awali na zilizobaki ni ghiliba tu kwa watanzania.

Anasema wamefanya utafiti kwamba wanashinda uchaguzi, watueleze utafiti ulifanywa na nani na lini na matokeo yake ni yapi?
 
Hiyo ndoa futa kwenye orodha..sio kigezo cha urais.
Ufaransa ina marais mabachelor na wenye vibuti.
Na hii mambo ya kulazimisha mambo ndo inatukost hii nchi.
Mke wa magufuli mwalimu..unamchanganyia siasa za nini?
Kuna first lady mwingine mwalimu kageukia unasiasa sijui hata macho huna?
Kama sio mwanasiasa we wamtaka wa nini?
Amshauri mmewe nini?
Hatutaki rais ananong'onzwa mambo ya kikazi n mkewe

Unakumbua ule mfano wa nyerere na waziri mdogo wa uingereza aliyetuhumiwa kutembea na mama wa njiani? Waziri mkuu wa uingereza alifanyaje?
 
Alikuwa anaongea kama anaongea na watoto wake. Huyu jamaa nilikuwa namheshimu sana lakini hotuba yake jana nimemdharau saaaana. Eti anataka mdahalo na mwenyekiti wa ccm na wa ukawa, shame on him, tangu lini ukawa ikawa chama.....bila aibu anasema kuna ukawa aina tatu....hii imethibitisha kama alivyosema mzee warioba ukawa wamepoteza uelekeo na maelengo yao ya awali na zilizobaki ni ghiliba tu kwa watanzania.

Anasema wamefanya utafiti kwamba wanashinda uchaguzi, watueleze utafiti ulifanywa na nani na lini na matokeo yake ni yapi?

Tulia mpini uingie vzr.
 
Hongera mbatia umewafungua macho wengi...leo ofisini kila mtu anashangaa rais kutumia trilion 4 kwa safari wakati walimu wanadai pesa kidogo, wanavyuo hawana mikopo eti hakuna pesa wakati mtu anatumia kuzunguka dunia kama pia...aibuu kweli kweli lol....
 
Alikuwa anaongea kama anaongea na watoto wake. Huyu jamaa nilikuwa namheshimu sana lakini hotuba yake jana nimemdharau saaaana. Eti anataka mdahalo na mwenyekiti wa ccm na wa ukawa, shame on him, tangu lini ukawa ikawa chama.....bila aibu anasema kuna ukawa aina tatu....hii imethibitisha kama alivyosema mzee warioba ukawa wamepoteza uelekeo na maelengo yao ya awali na zilizobaki ni ghiliba tu kwa watanzania.Anasema wamefanya utafiti kwamba wanashinda uchaguzi, watueleze utafiti ulifanywa na nani na lini na matokeo yake ni yapi?
Mbona unalia lia? Kwani we ulikuwa umejipangaje?
 
attachment.php


UPDATES:

Mbatia analalamikia vitisho vya Mgombea wa CCM, Magufuli kuwa wakiwachagua wapinzani nchi itaingia kwenye machafuko

Mbatia: Watu wameanza kupoteza maisha, wana UKAWA wanadhalilishwa na wengine kutekwa

Mbatia: Hali imeanza kuwa tete, vitisho vya kila aina vimeanza. Tumedhalilishwa sana, tumeitwa matusi ya kila aina.

Mbatia: Lowassa si mdini, alikuwa anataka watanzania wamwombee. Mhe. Lowassa hajaenda kwenye nguvu za giza. Hajatumia viungo vya albino, ameenda kuomba viongozi wa dini wamwombee; udini wake unatoka wapi?

Mbatia: Tunawashukuru Lowassa na Sumaye kwa nia zao njema kuja Upinzani kuongeza nguvu ili tuyafanye mabadiliko ya kweli

Mbatia: Hata CCM wangemweka malaika, si rahisi kupata mabadiliko bila kufanya mabadiliko ya mfumo.

Mbatia: CCM wanasema usichague chama, chagua mtu. Watanzania wanatakiwa kujua kuwa Magufuli ni CCM, na hawezi kujitenganisha na CCM. Huwezi kulisukuma gari ukiwa ndani yake, lazima utoke ndipo ulisukume. Mabadiliko ndani ya CCM hayawezekani

Mbatia: Tumefanya utafiti, tuna uhakika wa ushindi mwaka huu

Mbatia: Hatutawapa CCM nafasi ya kufanya machafuko ndani ya Taifa hili

Mbatia: CCM hawana hati miliki ya kuitawala Tanzania hii. Watupishe tufanye mabadiliko haya kwa utulivu na amani.

Mbatia: Sumaye, Lowassa wana uzoefu mkubwa wa kuongoza Serikali, uwezo tunao! Tunao kina Mungai, Msindai, Mgeja n,k na wanao uzoefu wa kuongoza Serikali.

Mbatia: Limeibuka suala la ukabila. Ni aibu iliyoje? CCM wanahubiri ukabila, ukanda bila aibu yoyote!

Mbatia: Ilani ya Uchaguzi ni mkataba kati ya mpiga kura na mpigiwa kura; tuwaulize CCM Ilani yao iliyopita imetekelezwa kwa kiasi gani kabla hawajaja na ilani mpya. UKAWA tunayo ilani ya pamoja

Mbatia: Tunawataka CCM waje tufanye midahalo kwa hoja

Mbatia: Wenyeviti wa vyama wawekwe kwenye midahalo ili UKAWA tupambane na CCM kwa hoja na watanzania wajue pumba na mchele

Mbatia: UKAWA ipo imara, haitasambaratika!

Mbatia anafafanua wapi watapata fedha za kufanikisha yale wanayoahidi kwenye kampeni.

Mbatia anadai Safari za Rais hazikuwa na tija kwa Taifa.

Mbatia: Lowassa na Serikali yake wakiingia madarakani wanao uwezo wa kupunguza kodi kwa wafanyakazi

Mbatia: Tukinyimwa haki yetu kwa mbinu chafu… Hatutaki kuona yaliyotokea Kenya yakitokea Tanzania

Prof. Baregu ametoa ufafanuzi juu ya gharama za safari za JK na athari zake kwa Taifa (pamoja na gharama za kuingilia shughuli za watendaji walio chini yake na kutokuwepo kwake nchini)

Shaweji Mketo (CUF) pia ameendelea kuongelea safari za JK na athari zake kwa Taifa; amegusia pia teuzi zilizofanywa jana na vikao vingine vya kiutendaji vinavyofanywa na Rais Kikwete nyakati hizi.

Mbatia kahitimisha kwa kusema "Tanzania bila CCM Inawezekana"

Asanteni

Mdahalo wa wenyeviti??Hili sijawahi liona wala kusikia!Mdahalo ni wa wagombea full stop!Hatutaki kuuziwa mbuzi kwenye gunia wapambane Lowasa na Magufuli na Anna Mgwira
 
Hawa watapimwa kwenye majimbo yao.anayetafuta urais ni tofauti kabisa.tutampima kitaifa.akinukia ufisadi hafai

Mbatia alimshawishi Sumaye ajiunge na Ukawa kwa kutumia hoja ya Ulutheri mwenzake alishirikiana na baadhi ya maaskofu wa Dhahabu hilo ndipo alikubali kumuunga mkono Lowassa kwakuwa ni Mlutheri mwenzake licha ya mwanzo kutangaza kuwa ni Fisadi, Udini na ukanda havina nafasi katika Tanzania
 
Mdahalo wa wenyeviti??Hili sijawahi liona wala kusikia!Mdahalo ni wa wagombea full stop!Hatutaki kuuziwa mbuzi kwenye gunia wapambane Lowasa na Magufuli na Anna Mgwira

Acha mbwembwe wananchi tushaamua ccm ndio basi hamwezi kutuambia nyeusi wakati sisi tuna macho tunaiona ni nyeupe .
 
Nilikua namuheshimu baregu hivi unawezwaje kuandaa tathmimi mbovu hivi au ndiyo kukalia au kuzikodisha alkali kwa jambazi lowassa huku.
Safari za jk wakati wa kampeni inasaidia nini, kupoteza muda kumuongelea jk mtu ambaye tayari wananchi na chama chake chenyewe kimemtenga na kumchoka ni kupoteza muda tu na cheap propaganda za kuhadaa watu . Wangeongelea ilani yao lowassa aliyosema ipo kwa tovuti, wangeongelea na ahadi zao na summary ya kampeni mikoa yote waliyopita hadi sasa na watu wa ngapi, viongozi wa ngapi Mae neo hayo wamehamia ukawa, specifics za kampeni siyo upuuzi wa mtu anayeondoka na ambaye hata ikimuattack tayari watu wanamchukia na hupati extra points..

Mdahalo tu nahitaji lowassa awepo na magufuli siku ya mwisho Kabla ya kupiga kura.
 
Acha mbwembwe wananchi tushaamua ccm ndio basi hamwezi kutuambia nyeusi wakati sisi tuna macho tunaiona ni nyeupe .

Hakuna ubaya kuchagua pasipo kuona lakini usizuie wengine kufahamu hoja za wagombea!hatuengi kuchagua chama ndio maana kuna wagombea wa ubunge na udiwani vinginevyo tungechagua chama then kiteue madiwani na wabunge!Kwa hiyo hakuna budi kuwaleta wagombea tuwasikilize kama mtu hawezi kusimama apewe kiti akae lakini aje ajibu hoja za watu!
 
Nilikua namuheshimu baregu hivi unawezwaje kuandaa tathmimi mbovu hivi au ndiyo kukalia au kuzikodisha alkali kwa jambazi lowassa huku.
Safari za jk wakati wa kampeni inasaidia nini, kupoteza muda kumuongelea jk mtu ambaye tayari wananchi na chama chake chenyewe kimemtenga na kumchoka ni kupoteza muda tu na cheap propaganda za kuhadaa watu . Wangeongelea ilani yao lowassa aliyosema ipo kwa tovuti, wangeongelea na ahadi zao na summary ya kampeni mikoa yote waliyopita hadi sasa na watu wa ngapi, viongozi wa ngapi Mae neo hayo wamehamia ukawa, specifics za kampeni siyo upuuzi wa mtu anayeondoka na ambaye hata ikimuattack tayari watu wanamchukia na hupati extra points..

Mdahalo tu nahitaji lowassa awepo na magufuli siku ya mwisho Kabla ya kupiga kura.


akili zako zinakutosha mwenyewe. Hizo sera kila mwaka zinasomwa na ni tamu kama k.... Ila nani anazitekeleza. Watanzania hatuhitaji kuambiwa habari ya sera kwa sasa, tumechoka, tunahitaji kujua issues zitatekelezwa vipi, na jana alichofafanua pro. Baregu ni namna ya kutekeleza sera za elimu bure mpaka chuo kikuu kwa ku save hela mingi toka kwa trips ambazo si zalazima kwa rais nje ya nchi
 
Alichukizwa na kauli za Magufuli na akafurahishwa na kauli ya kuomba kura kanisani.....very funny....ndo viongozi wetu hawa...

Hakuna kazi nguma duniani kama kuzungumza uongo. mishipa ikutoke, povu likutoke na macho uyakaze. We si uliona jana alipokuwa anaongea, analazimisha as if anaongea jambo ambalo ni geni kwa wasikilizaji.

kuomba kura kwa waruteli sio kosa, kosa ni kauli za Magufulu. Watu wengine sio ri. zi. ki kweli
 
Wacha porojo wewe mabadiliko yalishaanza zamani ndani ya CCM na unalikjuwa hilo.

Toka siku ilipotangazwa kujivua gamba yale ndio mabadiliko ya kweli, Lowassa akapigwa chini, Kina Mramba wakafungwa na kina Mahalu wakapindishwa mahakamani na TAKUKURU kuna kesi kwa maelfu za wabadhirifu wa fedha za umma.

Lowassa na Sumaye wamelijuwa hilo, wamejuwa kiama chao kinakaribia na kuhama kwao CCM si kwa kwa kutaka mabadiliko kama unavyofikiria, wanataka mabadiliko ya kujihami kwani ndiyo njia pekee waliyonayo, wanajuwa ikitokea bahati wakashika madaraka (ambacho mimi nnakiita ni ndoto) basi wameepuka kimbembe na ikishindakana hawana njia nyingine ila kuanzisha fujo nchini ili ku save their behinds. Na wamehuwa hawawezi kulianzisha mpaka wawe nje ya CCM.

Hao watu ni hatari sana na asiyeliona hilo atakuwa na yeye ni katika wale waliozibiwa mirija yao kwa mabadiliko ya ukweli.

Isitoshe mabadiliko anayoongelea Lowassa akiwa kanisa la kilutheri si mabadiliko tuyatakayo.

Team za usalama wa hii nchi ziwatazame tena kweli kweli maana wameshaanza choko choko ya kusema wataibiwa kura.

Like joka lenye makengeza lilishahama CCM?
Siku likihama unistue.
 
Mimi siyo mtoto mdogo wa kunidanganya kwa hela ya kununulia vibagia, pipi aivori, aiskrimu, nk ili niende shule.
Hakuna jipya CCM..... rejea wimbo wenu.

CCM ni ile ile..... ooooo ni ile ile

Kwa vile nawapenda niwakumbushe muimbe hivi,
CCM si ile ile..... ooooo si ile ile
.
.
.
.
.
Akili ya kufundishwa changanya na ya kwako.


Mama'ko kabadilika na kuwa si mama'ko kwa kuwa umekuwa? Au anabaki ni yule yule mama'ko tu?
 
Back
Top Bottom